PreGE2025 Karagwe: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election uliohutubiwa na Dkt Slaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapa ni Kata ya Kayanga, Wilayani Karagwe wakati Dkt Slaa amefundisha wanakijiji hao maana ya No Reforms No Election

View attachment 3328224View attachment 3328225

Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
Tupe picha za video zilizopigwa kwa juu na drone. Pia kumbuka hapo wanakwenda kila mtu hata wanaccm na vyama vingine wapo kusikiliza. Usifikiri hao wote wanakubaliana na ngonjera zenu.
 
Kipo, Watu wote kuhudhuria Mkutano wakiwa na kalamu na karatasi huku wakinukuu vifungu vya katiba hushangai?
Tangu lini watu wote wakahudhuria? Hapo kuna tofauti na kipindi huyo Dr Mihogo akiwa KK wenu? Kuna tofauti na kipindi Cha Lowasa? Harafu mlipata nini? 😂😂
 
Reactions: UCD
Tatizo la hii Nchi akili zimegawanyika kamatabaka. Kuna mahali zimo na kuna mahali hazimo.
 
Nasikia kuna mkutano mmoja huko Kagera mapolisi walikuwa wakisema kuwa atakayeenda mkutanoni watamvunja miguu.

Wanasheria wa CHADEMA hebu shughulikieni hili swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…