PreGE2025 Karagwe: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election uliohutubiwa na Dkt Slaa

PreGE2025 Karagwe: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election uliohutubiwa na Dkt Slaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona Kisutu hatukuwaona bali viongozi tu ambao walileta cha kuleta wakakipata walichokuwa wanakitafuta.
Hakuna utawala uliowahi kufanikiwa kwa kutegemea Polisi
 
Nimeweza kuzungumza na wakatoriki kadha wa kadhaa. Hawana mpango kabisa na uchaguzi na katika hao ni wale walio wa chama tawala.

Na hii issue naona inapenyezwa chini kwa chini ndani ya kanisa.
Kwa vile inajulikana CCM itatangazwa imepata ushindi wa 99 % sasa hata kwa mwana ccm kuna haja gani ya kwenda kupiga kura?
 
Back
Top Bottom