PreGE2025 Karagwe: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election uliohutubiwa na Dkt Slaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeweza kuzungumza na wakatoriki kadha wa kadhaa. Hawana mpango kabisa na uchaguzi na katika hao ni wale walio wa chama tawala.

Na hii issue naona inapenyezwa chini kwa chini ndani ya kanisa.
 
Acha uongo. Mimi mkatoliki na October napiga kura.
 
Hapa ni Kata ya Kayanga, Wilayani Karagwe wakati Dkt Slaa amefundisha wanakijiji hao maana ya No Reforms No Election

View attachment 3328224View attachment 3328225

Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
hicho kizee chenye laana hakichelewi kumendea na kupora wake za watu na kilivyo na tamaa, watu Lazima wawe makini na wake zao 🐒
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
Jibu la swali ni rahisi.
Hakuna "uchaguzi wa maghumashi" utakaofanyika popote. WaTanzania hawataruhusu hilo litokee -" NO REFORM, NO ELECTION."
 
Acha uongo. Mimi mkatoliki na October napiga kura.

Utakuwa mkatoliki magumashi, mkatoliki wa jina. Mkatoliki mshika dini hasa, hawezi kukubali kushiriki kwa namna yoyote kudhulumu haki ya mwanadamu mwingine, au akawa kwenye chama kinachoteka na kuua binadamu. Kuwa kwenye chama kinachoua na kutrka watu, maana yake na wewe umeshiriki. Siku ukienda kanisani usikose kuiungama hiyo dhambi.
 
Hao ni mamluki wa ccm wanaoishi kwa kulamba miguu, wako tayari hata kuua ili waendelee kulipwa
 
Hapa ni Kata ya Kayanga, Wilayani Karagwe wakati Dkt Slaa amefundisha wanakijiji hao maana ya No Reforms No Election

View attachment 3328224View attachment 3328225

Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
Alafu kuna mbuzi za UVCCM na UWT utasikia zinasemaCHADEMA imekufaaaaa!!

Wajionee sasa kuwa Chadema ipo mioyoni mwa Watanzania.
 
Utakuwa mkatoliki magumashi, mkatoliki wa jina. Mkatoliki mshika dini hasa, hawezi kukubali kushiriki kwa namna yoyote kudhulumu haki ya mwanadamu mwingine, au akawa kwenye chama kinachoteka na kuua binadamu. Kuwa kwenye chama kinachoua na kutrka watu, maana yake na wewe umeshiriki. Siku ukienda kanisani usikose kuiungama hiyo dhambi.
Wewe unataka tuwe kwenye chama kinachodadadia ushoga?
 
Alafu kuna mbuzi za UVCCM na UWT utasikia zinasemaCHADEMA imekufaaaaa!!

Wajionee sasa kuwa Chadema ipo mioyoni mwa Watanzania.
Mbona Kisutu hatukuwaona bali viongozi tu ambao walileta cha kuleta wakakipata walichokuwa wanakitafuta.
 
Back
Top Bottom