Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 May 9, 2025 Thread starter #41 UCD said: Mbona Kisutu hatukuwaona bali viongozi tu ambao walileta cha kuleta wakakipata walichokuwa wanakitafuta. Click to expand... Hakuna utawala uliowahi kufanikiwa kwa kutegemea Polisi
UCD said: Mbona Kisutu hatukuwaona bali viongozi tu ambao walileta cha kuleta wakakipata walichokuwa wanakitafuta. Click to expand... Hakuna utawala uliowahi kufanikiwa kwa kutegemea Polisi
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 May 9, 2025 #42 ZVI ZAMIR said: Nimeweza kuzungumza na wakatoriki kadha wa kadhaa. Hawana mpango kabisa na uchaguzi na katika hao ni wale walio wa chama tawala. Na hii issue naona inapenyezwa chini kwa chini ndani ya kanisa. Click to expand... Kwa vile inajulikana CCM itatangazwa imepata ushindi wa 99 % sasa hata kwa mwana ccm kuna haja gani ya kwenda kupiga kura?
ZVI ZAMIR said: Nimeweza kuzungumza na wakatoriki kadha wa kadhaa. Hawana mpango kabisa na uchaguzi na katika hao ni wale walio wa chama tawala. Na hii issue naona inapenyezwa chini kwa chini ndani ya kanisa. Click to expand... Kwa vile inajulikana CCM itatangazwa imepata ushindi wa 99 % sasa hata kwa mwana ccm kuna haja gani ya kwenda kupiga kura?