Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wadau mimi nina uzoefu kiasi za mabinti short-chasis a.k.a nyundo

Karaha;
1. Maneno mengi hata kwa ishu ndogo ya kuelewana (vuvuzela)

2. Poor appearance/zero nyago (refer kucheza kwaito harusini)

3. Hatari wakat wa kuzaa (kushika ujamwepesi huwa ni kaaazi mno.

Raha;
1. Wepesi kunako 6 x 6

2. Bajeti (shopping ya nguo, viatu, underwear baby shop inahusika)

3. Mnato kule dodoma hq ukilinganisha na matolu ladies
 
Pia wana joto-mwili la kuwafurumusha wana "ukawa" popote pale walipo kuja kutoa salamu za utii kwa haraka
hahahahahahah duh ukiwakunja yani kila kona kunagusika pale anapokuwa wa wastani kiunene kama ni big duuufuuu:A S wink:
 
Mh mbona mi mfupi lakin hizo karaha sina
Hilo jina lako lime nikumbusha my first Love. She loves me and i love her ila alipo hama na kipindi hicho tulikua watoto na technologia ilukuwa haija kuwa kwa kiasi hiki basi tuka poteans hadi leo. 😑
 
  • Thanks
Reactions: Paw
mapenzi hayaangalii kimo wandugu kwa hiyo si vizuri ku-generalize, la muhimu ni KUJIFUNZA na KUJITUMA kila iitwapo leo. hasa kwa kujua STYLES za kumridhisha mpenzio.
 
Shida yao hawa ni kutaka waonekane warefu ghafla, hawajui kama ndo ilishashindikana.
 
Hilo jina lako lime nikumbusha my first Love. She loves me and i love her ila alipo hama na kipindi hicho tulikua watoto na technologia ilukuwa haija kuwa kwa kiasi hiki basi tuka poteans hadi leo.

am here beibe jamani kumbe bado wanikumbuka
 
secrete

sio tabia nzur kugeneralize watu et kisa maumbile flan...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom