Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Mimi siyo mfupi wala mrefu nipo katikati ila ninasikitika sana jinsi mnavyomkosoa mwenyezi mungu mnafikiri nyie mmekamilika 100%?.....Hakuna binadamu hapa dunian aliekamilika,kuna watu humu wengine mnaelimu kubwa tu. ndugu zangu sisi binadamu wote tunamapugufu.
 
Embu niwekeeni picha ya hao nyundo ili nijipime kama naangukia hapo loh
 
Hao watu sitaki hata kuwasikia....

~Wanawivu mnooo

~Wanapenda kujiona wazuri sana kuliko wengine

~ wanapenda kuongea ongea mnoo bila sababu ya msingi

~vicheche sana...

Wanamatatizo sana hawa nyundo. Sio waume wala wake. Ukiwakuta wote kimo kimoja ni shida haswa.
 
hawa sifa yao kuu ni kupenda kwelikweli na kuwa waaminifu kwa mpenzi wake
 
Pale walipopungukiwa kwenye u-short chassis hupafidia kwenye mambo mengine. Wana raha yake!
 
Kuna kamoja kanasimamaga pale mapambano kituoni usiku full joto

Au ndo wewe mwenyewe unaesimama unajipigia promo. Tehe tehe teheee. Haya bhana tumekuelewa, nadhan watakuja kupata hilo joto.
 
Mimi siyo mfupi wala mrefu nipo katikati ila ninasikitika sana jinsi mnavyomkosoa mwenyezi mungu mnafikiri nyie mmekamilika 100%?.....Hakuna binadamu hapa dunian aliekamilika,kuna watu humu wengine mnaelimu kubwa tu. ndugu zangu sisi binadamu wote tunamapugufu.

Hii inaitwa character analysis. Binaadamu hatuna tabia moja. Watu warefu nao wana zao vile vile.
 
Hao watu sitaki hata kuwasikia....

~Wanawivu mnooo

~Wanapenda kujiona wazuri sana kuliko wengine

~ wanapenda kuongea ongea mnoo bila sababu ya msingi

~vicheche sana...

Kula like ya nguvu
 
Hilo jina lako lime nikumbusha my first Love. She loves me and i love her ila alipo hama na kipindi hicho tulikua watoto na technologia ilukuwa haija kuwa kwa kiasi hiki basi tuka poteans hadi leo.
 
Shida yao hawa ni kutaka waonekane warefu ghafla, hawajui kama ndo ilishashindikana.

kuna point nyingine jmn huwa nikizisoma mbavu sina.

/thanks Mkuu ila washauri wavae viatu virefu.
 
Back
Top Bottom