Du Wakuu hii habari ni ya kitambo kidogo. Yaani ni huzuni sana kwa familia ya Mongela. Nakumbuka serikali japo si direct iliingilia kidogo na ili kupunguza makali kijana akapelekwa Kigoma. Ninachofahamu ni kwamba alidanganya muda wa kuingia Airport Dar. Mama akafika mapema akapokelewa na Karamagi na kumpeleka moja kwa moja kwenye nyumba full furnished Mbezi Beach!!! Hata hivyo, walianza kutofautiana kwa sababu binti alikuwa anataka kuwaona watoto wake kila mara na akawa anajutia kuwa miss watoto. amani ikatoweka. Tofauti zilipozidi sana, basi siku moja Karamagi akakodi gari ili likamhamishe kwa nguvu huyo bibie, gari ilifika hadi nyumbani ila ilishindikana kwani binti alimtishia kuwa akimfukuza basi ataanika dili zake zote na kuwa kila evidence alishaweka. Karamagi kusikia hivyo, akafyata mkia na kuanza kuomba radhi. Hata hivyo hawakuwa na maisha mazuri tena ya amani.
Binti alitaka amrudie mumewe ikawa shida kidogo kulingana na unyeti wa familia ya ukweni hivyo, ilibaki kuwa ni aibu tu. Hata hivyo, sina details zao kwa mwaka huu 2009 (latest) kuwa
1. Je bado wanaishi na Karamagi?
2. Je, mh. Mongela bado hajaoa? Kwani kwa kweli ni muda sasa umepita tangu watengane!!!
3. Mongela anatakiwa aoe aachane na huyu Kicheche, hana heshima si mama wa familia huyo. Kama atakubali warudiane basi ni kuongeza comlications katika maisha yao.