Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)


Upate mshikaki wa Nyoka na ugali wa muhogo pembeni hatari sana uwe na pilipili ya kutosha
 

Mamba kama mkubwa upate wa kuchomwa hivo anakua mtamu kuliko supu yake. Japo wanadai supu ndio nzuri zaidi
 
Huu uzi utakuwa hamajautendea haki kama hamjazungumzia Nyapula , mukalifya na senene.
 
Bro Mshana hujui siku hizi ngozi nayo ni dili tena inaliwa kama supu? Ni hivi, wanaibanika kutoa yale manyoya then inashemshwa na kutanuka, alafu inakatwa katwa vipande. Ukichanganyiwa na kongoro au utumbo huwezi kuigundua haha
Hiyo watu wa West Africa wanazinunua sana hizo ngozi ndo chakula chao pendwa sana. Watu wa Ghana, Nigeria nk. Zinakuwa exported sana na ndo maana zimeadimika.
 
H
Thread safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…