Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

2.Maji ya limao na Maziwa
Maziwa na limao huwa haviwezi kukaa sehemu moja kwani vikichanganywa lazima maziwa yaweze kukatika.

Ikiwa mtu atachanganya maziwa na maji ya limao anaweza kutengenezea sumu, vilevile yanaweza kuleta shida katika moyo
Screenshots_2022-11-12-09-18-49.jpg
 
3.Karanga na Mafuta ya mzeituni

Karanga ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binadamu na hutumika katika sehemu nyingi sana.

Pia karanga ina kiwango kikubwa sana cha protini na wanga, vilevile Karanga ni moja ya virutubisho muhimu katika lishe, haswa kwa wale ambao wanataka kupunguza uzito.

Kwa mafuta ya mzeituni yanamsaada mkubwa pia hasa katika masuala ya tiba kwa baadhi ya magonjwa, lakini mchanganyiko wa mafuta hayo na karanga yanaleta shida ila inashauriwa kutumika pale moja inapokosekana lakini sio kwa pamoja.
Screenshots_2022-11-12-09-18-30.jpg
 
4.Dawa pamoja na sharubati ya limao

Kuchukua dawa na kuchanganya na kitu chenye gesi ina madhara makubwa, wataalamu wanasema kuwa kunywa dawa na soda kama fanta au Coca-Cola inaweza kukusababishia kifo kutokana tu ongezeko kubwa la gesi.

Ameongeza kwa kusema kuwa limao au kinywanji chochote chenye gesi hakipaswi kuchanganywa na dawa ni hatari.
Screenshots_2022-11-12-09-18-49.jpg
 
5.Nyama na mayai mabichi

Kuchanganya nyama ambayo haijaungwa na mayai mabichi inaweza kusababishia matatizo katika mwili wa binadamu.

Inaweza kuwa sumu kwa wengine, zingine zinaweza kusababisha kutapika na kuhara kwa sababu haifai kutumika hivyo.

Nyama mbichi inaweza kusababisha athari ikiwa usindikaji wake haufuatwi ili kupunguza kiwango cha virutubishi vilivyomo.

Mtaalamu anasema kuwa mayai mabichi hayana virutubisho kwenye mwili wa binadamu, yakiwa bado kwenye hali hiyo hayapaswi kuliwa mpaka pale yatakapochemshwa au kukaangwa ndio hujenga mwili.

"Mayai mabichi sio ya kuyaamini," Anasema Mtaalamu wa chakula kutoka Nigeria, Habiba Haruna.

Wataalamu wanashauri watu kula kile wanajua kitakuwa na faida na haitawasababishia matatizo yoyote.

Kujaribu kitu kipya kunaweza kuwa na faida kwa wengine lakini pia kunaweza kuwa na madhara.

Kuna aina nyingi sana ya vyakula ambavyo vikichangwanywa vinaweza sababisha madhara.

Mtu anapaswa kuwa mwangalifu katika uchaguzi wa vyakula ni vyema aweke vyeme virutubisho na kuepuka kuvichanganya.
Screenshots_2022-11-12-09-27-04.jpg
 
Kila aina chakula ina faida zake, ila kinapochanganywa kinaweza kusababisha shida kwa mtu.

Kwa watu ambao wanataka kuchanganya lishe ili kupunguza unene na vichocheo vyake ni vyema kushauriana na wataalamu jinsi ya kupanga lishe bora.
Screenshots_2022-11-12-09-17-27.jpg
 
Supu ya mapupu ni maarufu sana uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa kichwa,ngozi,mapafu,bandama yaaani mavitu flani yale ambayo hubaki ng'ombe akichinjwa watu hawali au havina soko.View attachment 2413230
Kuna sikut umetoka site kongowe mama ntilie alipika chakula sicho kapikia mafuta ya moo. Niashindwa kukila nkasema ntakula jioni pale mbagara naonaga supu za ukweli sana watu wengi wanazungukia.
Kufika kuina lile wese lilotanda juu na ile harufu na zile chapati nikamwambia kijana tuagize hapa hapa. Nikakaa kwenye benchi nkamwambia nipe ya buku jero. Muuzaji kashangaa akasema finyango jero jero huwezi maliza nkamwambia weka nzuri.

Aisee ile nimepiga chapati nashushia na mchuzi yale mafuta nkasema tobaaa nimevamia kambi siyo.. nkasema ngoja nile nyama tuuu. Aisee nimetafuna 10 minutes ngoma ipo pale pale. Nkamwambia mama hizi nyama gani? Ndo nkajua mapupu ni na bandama.

Nkasema nimeshindwa, kuna mwamba jirani yangu akasema lete huku uone inavyoshukaa. Jamaa anakula na jasho limemtoka.
Aisee tembea uone.
 
Nkasema nimeshindwa, kuna mwamba jirani yangu akasema lete huku uone inavyoshukaa. Jamaa anakula na jasho limemtoka. [emoji23]
 
Kuchukua dawa na kuchanganya na kitu chenye gesi ina madhara makubwa, wataalamu wanasema kuwa kunywa dawa na soda kama fanta au Coca-Cola inaweza kukusababishia kifo kutokana tu ongezeko kubwa la gesi.

Kuna mangi mmoja kitaa alikata kamba baada ya kutumia Coca kunywea Panadol...
 
Kuna sikut umetoka site kongowe mama ntilie alipika chakula sicho kapikia mafuta ya moo. Niashindwa kukila nkasema ntakula jioni pale mbagara naonaga supu za ukweli sana watu wengi wanazungukia.
Kufika kuina lile wese lilotanda juu na ile harufu na zile chapati nikamwambia kijana tuagize hapa hapa. Nikakaa kwenye benchi nkamwambia nipe ya buku jero. Muuzaji kashangaa akasema finyango jero jero huwezi maliza nkamwambia weka nzuri.

Aisee ile nimepiga chapati nashushia na mchuzi yale mafuta nkasema tobaaa nimevamia kambi siyo.. nkasema ngoja nile nyama tuuu. Aisee nimetafuna 10 minutes ngoma ipo pale pale. Nkamwambia mama hizi nyama gani? Ndo nkajua mapupu ni na bandama.

Nkasema nimeshindwa, kuna mwamba jirani yangu akasema lete huku uone inavyoshukaa. Jamaa anakula na jasho limemtoka.
Aisee tembea uone.
Tunaenda kwa muuza supu tunanunua mapupu tunaenda nyumbani kutengeneza rosti sio poa yani kama vile tunakula maini
 
Back
Top Bottom