Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni titi la ng'ombe mkuu ht kwenye vile vi mishkaki mshenzi wanaweka wanaita nundu[emoji23][emoji23]Du. Nimecheka kweli kweli hiyo namba 4, mzigo wa kwio. Halafu sijaelewa ni mchanganyiko gani hasa. Kuna moja, ni trademark ya vilabu vya pombe za kienyeji za uswazi, hasa Dar. Unakuta nyama ya ng'ombe au niseme pande la futa kubwa (sijui ni ya sehemu gani) inawekwa kwenye jiko la kuchomea. Mnunuaji akifika anakatiwa kipande. Inanukia vizuri sana wakati inachomwa. Ukienda vilabu vya Kawe, Manzese etc hukosi wachomaji wa hii nyama-futa.
BTW bado list inaendelea: utumbo na miguu ya kuku!
Hivi vina kiwango [emoji23]mie hapa tu[emoji39][emoji39]View attachment 2413242View attachment 2413243
Aah kweli umenikumbusha ni matiti/manyonyoHilo ni titi la ng'ombe mkuu ht kwenye vile vi mishkaki mshenzi wanaweka wanaita nundu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
wanalembesha ila utamu uleule wa kiswaziHivi vina kiwango [emoji23]
Huwa kuna ugali chumvi.Hii vipi nilikutana nayo kyela mbeya.View attachment 2413195
Kama sikosei huwa wanaita ''masagasaga''Hilo ni titi la ng'ombe mkuu ht kwenye vile vi mishkaki mshenzi wanaweka wanaita nundu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
unashibia kwa picha ya samakiHuwa kuna ugali chumvi.
Mwamba huyu hapa
Dah hili chachandu mpaka mate yamenitokaVingunguti hiyo Huwa sitoboi napaki gari pembeni wenyewe watoto wa kiswahili wanaita kulumbuwa.View attachment 2413069
Mkuu hii mihogo inapatikana wapi?mie hapa tu[emoji39][emoji39]View attachment 2413242View attachment 2413243
Rangi tano wanapatikana Wala ngozi😄😄Hivi kuna Mbagala rangi tatu na tano?
search mihogo point wapo mwengeMkuu hii mihogo inapatikana wapi?
Hicho ndo chakula kilichotulea shule ya msingi hata kama yule rais wa mchongo aliviponda