Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Bro Mshana hujui siku hizi ngozi nayo ni dili tena inaliwa kama supu? Ni hivi, wanaibanika kutoa yale manyoya then inashemshwa na kutanuka, alafu inakatwa katwa vipande. Ukichanganyiwa na kongoro au utumbo huwezi kuigundua haha
Hiyo ilikuwa zamani maana sasa hivi bei ya ngozi mbichi si chini ya 20k
 
EfE3PXQWkAArtww.jpg
 
Bro Mshana hujui siku hizi ngozi nayo ni dili tena inaliwa kama supu? Ni hivi, wanaibanika kutoa yale manyoya then inashemshwa na kutanuka, alafu inakatwa katwa vipande. Ukichanganyiwa na kongoro au utumbo huwezi kuigundua haha
Hii kitu inapatikana mbagala rangi tano😄😄
 
Njaa haina baunsa [emoji23]
Du. Nimecheka kweli kweli hiyo namba 4, mzigo wa kwio. Halafu sijaelewa ni mchanganyiko gani hasa. Kuna moja, ni trademark ya vilabu vya pombe za kienyeji za uswazi, hasa Dar. Unakuta nyama ya ng'ombe au niseme pande la futa kubwa (sijui ni ya sehemu gani) inawekwa kwenye jiko la kuchomea. Mnunuaji akifika anakatiwa kipande. Inanukia vizuri sana wakati inachomwa. Ukienda vilabu vya Kawe, Manzese etc hukosi wachomaji wa hii nyama-futa.
BTW bado list inaendelea: utumbo na miguu ya kuku!
 
Back
Top Bottom