Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Supu ya mapupu ni maarufu sana uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa kichwa,ngozi,mapafu,bandama yaaani mavitu flani yale ambayo hubaki ng'ombe akichinjwa watu hawali au havina soko.
B%202.jpg
 
Du. Nimecheka kweli kweli hiyo namba 4, mzigo wa kwio. Halafu sijaelewa ni mchanganyiko gani hasa. Kuna moja, ni trademark ya vilabu vya pombe za kienyeji za uswazi, hasa Dar. Unakuta nyama ya ng'ombe au niseme pande la futa kubwa (sijui ni ya sehemu gani) inawekwa kwenye jiko la kuchomea. Mnunuaji akifika anakatiwa kipande. Inanukia vizuri sana wakati inachomwa. Ukienda vilabu vya Kawe, Manzese etc hukosi wachomaji wa hii nyama-futa.
BTW bado list inaendelea: utumbo na miguu ya kuku!
Hilo ni titi la ng'ombe mkuu ht kwenye vile vi mishkaki mshenzi wanaweka wanaita nundu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom