Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Haiya Mliotaka mchanganuo wa Visinia haswa Mchepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hapo



KISINIA MENU

1:Kisinia Lulu -7000
Kuku
Miskaki
Chips
Salad

2: Kisinia Huba-12000
Kuku Nusu
Miskaki 2
Sosej
Chips or Wali
Salad

3: Kisinia Wapendanao-20000
Kuku Mizma
Miskaki 4
Sosej
Wali
Chips
Salad

4: Kisinia Mchepuko -30000
Kuku 1
Miskaki 5
Sosej 3
Samaki
Wali
Chips Makange Mboga

4. Kisinia Big Boss-40000
Kuku 2
Miskaki 5
Sosej 4
Samaki
Firigisi
Chips Yai
Ndizi or Chips
Salad
 
Haiya Mliotaka mchanganuo wa Visinia haswa Mchepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hapo



KISINIA MENU

1:Kisinia Lulu -7000
Kuku
Miskaki
Chips
Salad

2: Kisinia Huba-12000
Kuku Nusu
Miskaki 2
Sosej
Chips or Wali
Salad

3: Kisinia Wapendanao-20000
Kuku Mizma
Miskaki 4
Sosej
Wali
Chips
Salad

4: Kisinia Mchepuko -30000
Kuku 1
Miskaki 5
Sosej 3
Samaki
Wali
Chips Makange Mboga

4. Kisinia Big Boss-40000
Kuku 2
Miskaki 5
Sosej 4
Samaki
Firigisi
Chips Yai
Ndizi or Chips
Salad
Location plz
 
Firigis pori
JamiiForums40834460_512x512.jpg
 
.
 

Attachments

  • d6efa839755ba2478e117e8909df7dd8.jpg
    d6efa839755ba2478e117e8909df7dd8.jpg
    11.6 KB · Views: 31
Namba 5 kwenye korodani za mbuzi,sisi tunaita makwasukwasu halafu mkuu bar uliyokuwa umeisahau jina ilikuwa inaitwa sugar Ray Sasa hivi kisuma
Asante kabisa ni Sugar ray japo imeshakufa.. Palikuwa na vingi pale.. Vingi kwelikweli
 
Asante kabisa ni Sugar ray japo imeshakufa.. Palikuwa na vingi pale.. Vingi kwelikweli
Imepata mmiliki mwingine na inaitwa kisuma japokuwa hamna vibe tena Kama ilivyokuwaga Sugar ray

Hapo kwenye vingi,umenifurahisha sana .....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom