Location plzHaiya Mliotaka mchanganuo wa Visinia haswa Mchepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hapo
KISINIA MENU
1:Kisinia Lulu -7000
Kuku
Miskaki
Chips
Salad
2: Kisinia Huba-12000
Kuku Nusu
Miskaki 2
Sosej
Chips or Wali
Salad
3: Kisinia Wapendanao-20000
Kuku Mizma
Miskaki 4
Sosej
Wali
Chips
Salad
4: Kisinia Mchepuko -30000
Kuku 1
Miskaki 5
Sosej 3
Samaki
Wali
Chips Makange Mboga
4. Kisinia Big Boss-40000
Kuku 2
Miskaki 5
Sosej 4
Samaki
Firigisi
Chips Yai
Ndizi or Chips
Salad
Hili ni kende la ngedere ety
Ni kwamba hawana sufuria au ndio aina mpya ya upishi
Tatizo kiuKiazi kitamu.View attachment 2535319
[emoji23][emoji23]Tatizo kiu
Namba 5 kwenye korodani za mbuzi,sisi tunaita makwasukwasu halafu mkuu bar uliyokuwa umeisahau jina ilikuwa inaitwa sugar Ray Sasa hivi kisuma
Asante kabisa ni Sugar ray japo imeshakufa.. Palikuwa na vingi pale.. Vingi kwelikweliNamba 5 kwenye korodani za mbuzi,sisi tunaita makwasukwasu halafu mkuu bar uliyokuwa umeisahau jina ilikuwa inaitwa sugar Ray Sasa hivi kisuma
Imepata mmiliki mwingine na inaitwa kisuma japokuwa hamna vibe tena Kama ilivyokuwaga Sugar rayAsante kabisa ni Sugar ray japo imeshakufa.. Palikuwa na vingi pale.. Vingi kwelikweli