Karanga za Diamond zimesababisha umasikini kwa 30%

Karanga za Diamond zimesababisha umasikini kwa 30%

karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa

tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond karanga umesababisha karanga zao kudoda.

wengi wanatamani leo kesho diamond karanga zipigwe marufuku.

ukitaka kuamini hilo hata ukiwa ndani ya gari akipita mtu na sinia lake la karanga anauza halafu akaja mwengine naye anauza karanga za diamond,,itakazonunuliwa ni hizo za diamond.

hapa serikali iingilie kati maana wengine miaka nenda miaka rudi wanaendesha maisha kwa kuuza karanga.
UMESHAJIUNGA MASONIC?
 
piga pesa diamondi.mimi naishi mkoani juzi nilikua dar nikiwa kwenye foleni pale ubungo na magomeni niliona vijana wengi wako na karanga za mond so nikanunua na nikamuuliza muuzaji vipi unaonaje kasi ya hizi karanga akajibu hii ni bonge la ajira akasema kwa kweli tunauza sana tena sana hivyo hii ni frusa kwetu piga pesa diamondi waache washangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mbinu za kibiashara hawana..

Punguza chuki

ushauri wa bure
 
Back
Top Bottom