Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not only sukar ile kava ya juu ni ya "chama"Sukari nyingi
UMESHAJIUNGA MASONIC?karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa
tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond karanga umesababisha karanga zao kudoda.
wengi wanatamani leo kesho diamond karanga zipigwe marufuku.
ukitaka kuamini hilo hata ukiwa ndani ya gari akipita mtu na sinia lake la karanga anauza halafu akaja mwengine naye anauza karanga za diamond,,itakazonunuliwa ni hizo za diamond.
hapa serikali iingilie kati maana wengine miaka nenda miaka rudi wanaendesha maisha kwa kuuza karanga.
chama gani?Not only sukar ile kava ya juu ni ya "chama"
be "you"