Karani: Ongezeko la mshahara(23.3%) litaniwezesha kumjengea baba yangu nyumba na kumnunulia gari. Bulembo asema mishahara haikuongezwa miaka 6

Bulembo anafeli wapi? Ni miaka 7 no salary increase kwa visingizio kibao vya stiglaz na sgr kumbe sukuma gang wanapiga wakijinasibi kwamba ni zamu yao na wao ndio wanakura raha Sana..

Saizi miradi inaenda na salary zimeongezwa.
 
Bulembo baba mtu ni miongoni mwa wanadamu wanafki bora wa muda wote tangu ulimwengu uumbwe
 
Halima Bulembo, mtoto wa Abdallah Bulembo. Ukiniambia neno ninatuma mahari kwa mzee soon
 
Mama kaupiga mwing japo tukienda kimahesabu n kama kuliwa elfu Hamsini kweny michezo ya kubahatisha alaf ukaja ukashinda elf arobaini baadae,. Lazma utashangilia saana.
Bighaa ziko juu, nauli zinapanda na vitu vngne vingi tu, alichofanya mama n ksaidia kulipa asilimia fulan ya tozo. Ongezeko kama ilo sio la ksema eti ltakfanya ujenge mara ununue gari. N uongo tu..
Yaan karudisha maisha kama zaman kabla kodi na tozo kupanda
 
Ashukuriwe mama. Hili ongezeko halijawaji kuwepo tangu dunia iumbwe.
 
Bulembo anafeli wapi? Ni miaka 7 no salary increase kwa visingizio kibao vya stiglaz na sgr kumbe sukuma gang wanapiga wakijinasibi kwamba ni zamu yao na wao ndio wanakura raha Sana..

Saizi miradi inaenda na salary zimeongezwa.
Jamani mama TISS wamwongezee ulinzi sana sana. Hatutakubali auliwe kizembe kama walivyomuua jiwe.
 
Ashukuriwe mama. Hili ongezeko halijawaji kuwepo tangu dunia iumbwe.
😥😥😥😥 acha uongo. Kuna mwamba mmoja yupo hapo msoga analima nanasi kwa sasa alisha wahi kupakia mzigo wa 41%
Your browser is not able to display this video.

Japo samia kaupiga mwingi. Mwanachafo aliona kama atakula hasara akiwaongezea watumishi mishahara
 
Nchi yeti ina vilaza wengi sana! Ukiongeza mishahara gharama zinatoka wapi za kulipia mishahara? Tunaelekea kuprint more and more money kwa uchumi huu!
 
Nchi yeti ina vilaza wengi sana! Ukiongeza mishahara gharama zinatoka wapi za kulipia mishahara? Tunaelekea kuprint more and more money kwa uchumi huu!
Hivi ww haujui kila mwaka bajeti uwa inaongezeka au mnakalili akili za mwendazake alikuwa anawajaza akili chafu kichwani sasa unafikili bajeti ikiongezeka uwa wanaongeza vyanzo vya mapato yani kodi uwe na akili ww
 
Na wewe ni mmojawapo wa vilaza nchi hii! Kwa sasa hivi inflation ni ngapi rafiki? Ili ujue nilimaanisha nini!!
 
Hii ndio caliber ya viongozi wa ccm🤣🤣🤣
 
Mkuu ni fikra za watu maakini au ni matajiri wanaotaka kuwalaghai watu maskini.
 
Bro watumishi hufanya maendeleo kwa mikopo
 
Kwa Muheza sawa kabisa anaweza kumjengea baba yake nyumba! Nyumba zenyewe mbavu za mbwa, fito,majani na udongo wa mfinyanzi shilling 30,000/= nyumba tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…