Karani: Ongezeko la mshahara(23.3%) litaniwezesha kumjengea baba yangu nyumba na kumnunulia gari. Bulembo asema mishahara haikuongezwa miaka 6

Na wewe unaota ndoto za mchana, kima cha chini laki tano! Unafanya mzaha!
 
Hilo ongezeko hesabu washapiga Yani! Uchawa uchawa tu. Kiherehere.
 
Hivi mlitaka afanyeje?? Asiongeze mshahara?? Bei hauzisushi kwa order ya serikali hii ni market economy the market dictates the prices more so the global market.

Akisema afute tozo zingine kwenye bei ya mafuta mtakuja kulalamika mliona miraid haimaliziki!!! So bora mshahara upande tu iwe win win kwa wote mpate Hela ya kufidia gharama zilizopanda na serikali kumaintain kodi yake at least mpaka mwaka wa fedha uishe.

Tuache kupinga tu kisa amefanya Samia, mambo mengine tuwe optimistic
 
Punguzeni ujuaji kama kwa sasa atalipwa laki 5 akisave laki 3 kwa mwezi atahitaji miaka 8 Ili apate Hilo gari unaloongelea hapa? Au kwa akili Yako ana maanisha ni hiyo 23% pekee ndio atajengea nyumba??

Unaweza ona laki moja sio kitu ila kuna watu wanalipwa 150,000 kwa mwezi na Wana survive hapa Dar ndio sembuse mkazi wa Korogwe ambapo gharama za maisha ni chini ya Dar??
 
Nchi yeti ina vilaza wengi sana! Ukiongeza mishahara gharama zinatoka wapi za kulipia mishahara? Tunaelekea kuprint more and more money kwa uchumi huu!
Kwani increment ya mshahara wa watu laki 5 pekee ndio unaweza drive inflation kwa labor force ya watu million 30+??

Ambacho tunapaswa tuone ni kwamba the more disposable income kwa hao watumishi means more money inaenda tena kwa private sector mfano manunuzi ya bidhaa n.k which translates to more revenue base ambapo serikali itakusanya. So hapo gharama ya hiyo mishahara itakuwa recouped at least 40%

Sidhani kama billion 300 zinazobaki zinaweza lazimu serikali kuprint notes. In fact serikali itabana tu mabenki ya biashara, itapandisha reserve ratio, itapandisha bank rate,itanunua hati fungani nyingi yote hayo kupunguza hizo hayo mabillion kwenye mzunguko at least for the near future!!! Mpaka currency in circulation na demand deposits zipungu haswaa.

That's how Central Bank operates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…