Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Teh! Yani kula mayai, Sausage na maziwa ndio maisha ya big brother.?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaza kidogo sana. Walikuwa pamoja wakiwa safe lakini umesahau baada ya kuwa pamoja kuna movements walizozifanya zinazomhusu kila mmoja wao yaani individually, na kumbuka wanasema waliporudi kila mtu akaenda mahali pake hadi walipopigiana Simu wafike kwa diamond kwa ajili ya kwenda kupimwamkumbuke tu kabla ya maisha ya karantini hao jamaa walikuwa pamoja na walishirikiana kwa kila kitu so kama mmoja wapo alikuwa ni muathirika basi wote washaambukizana
ko muwaache waenjoy life la karantuni nazani mngependa kuwaona wakiwa wanyonge kama wagonjwa ndo mfurahi acheni watu waishi maisha yao
Nani Kakuambia kua mimi nina Chuki.?Pambana mkuu
Maisha ya kuwa na chuki ni magumu zaidi
Ona hii Guruguja
Naona unatumia Elimu yako ya Shule ya kata Kuelezea Ujinga wa kitu usichokua na Uelewa Nachomkumbuke tu kabla ya maisha ya karantini hao jamaa walikuwa pamoja na walishirikiana kwa kila kitu so kama mmoja wapo alikuwa ni muathirika basi wote washaambukizana
ko muwaache waenjoy life la karantuni nazani mngependa kuwaona wakiwa wanyonge kama wagonjwa ndo mfurahi acheni watu waishi maisha yao
RobidinyoNani Kakuambia kua mimi nina Chuki.?