Karantini ya Diamond Platnumz ni kama shindano la Big Brother

Karantini ya Diamond Platnumz ni kama shindano la Big Brother

Hao wanafanya utani quarantine is like self isolation, let's say kati yao kuna mmoja wapo anahivo virus na wengine walikuwa hawana si kuna uwezekano kwenye hiyo quarantine yao wakaambukizana wote.
Wanafanya ujinga na upumbavu hao.
Inatakiwa kila mmoja anajitenge peke yake ili kama katika hizo siku ukija kuonekana unaumwa unatibiwa .
Wanahitaji elimu hao hawaelewi maana ya quarantine
 
Hapo diamond anafanyaje masihara? Ugonjwa uwezi ukawa kisingizio Cha kutofanya shughuli zako ndomaana wewe unafanya kazi Kama kawaida hapo diamond ametumia Kama sehemu ya kupata kipato na hajawahi kuleta dhiaka kwenye ugonjwa wa Corona Kama alivyofanya Mwana fa ndomaana pamoja na kutumia Kama sehemu ya kumuingizia kipato lakini pia anatumia nafasi hiyo ya kutoa elimu ya kujizuia na Corona kwa raia.
Umeandika Pumba Mzee.
 
Kik Ya yeye kumtema Tanasha Imebuma, Kik Ya mama yake Kutemwa na Kiben 10 pia Imebuma ameona wivu Mwana FA katrend na Yeye kaamua Kupitamo alaf raia Wamempotezea Japokua Vi fans Vyake Vinajaribu Kubust ila Busta Limegoma Pia.
 
Ona sasa matokeo yake
FB_IMG_1585221695303.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachofanya hao jamaa ni Ku enjoy life ila kwa ile maana halisi ya quarantine hapana. Ilipaswa kila mmoja awe mbali kidogo na mwinginelakini wao hapo wanaimbiana karibu karibu, wanapokezana na kuelekezana magitaa n.k
 
mkumbuke tu kabla ya maisha ya karantini hao jamaa walikuwa pamoja na walishirikiana kwa kila kitu so kama mmoja wapo alikuwa ni muathirika basi wote washaambukizana
ko muwaache waenjoy life la karantuni nazani mngependa kuwaona wakiwa wanyonge kama wagonjwa ndo mfurahi acheni watu waishi maisha yao
 
Kik Ya yeye kumtema Tanasha Imebuma, Kik Ya mama yake Kutemwa na Kiben 10 pia Imebuma ameona wivu Mwana FA katrend na Yeye kaamua Kupitamo alaf raia Wamempotezea Japokua Vi fans Vyake Vinajaribu Kubust ila Busta Limegoma Pia.
hv kumbe na tanasha hawajaachana ilikuwa ni kiki...?
hv kumbe karantini wamejipereka wao sio amri kutoka juu...?me nkajua labda ni kutokana na mtu wao wa karibu kupatikana na uginjwa ndo maana nao imebidi wawepo karantini..
Ila jamaa kaishiwa kiki na yy mpaka kupitia kwa mama yake daaaah
mji unamambo mengi huu
 
Hapo diamond anafanyaje masihara? Ugonjwa uwezi ukawa kisingizio Cha kutofanya shughuli zako ndomaana wewe unafanya kazi Kama kawaida hapo diamond ametumia Kama sehemu ya kupata kipato na hajawahi kuleta dhiaka kwenye ugonjwa wa Corona Kama alivyofanya Mwana fa ndomaana pamoja na kutumia Kama sehemu ya kumuingizia kipato lakini pia anatumia nafasi hiyo ya kutoa elimu ya kujizuia na Corona kwa raia.
kwani Mwana FA kafanya ujinga gani
na n kwa nn unaamini Diamond yupo sahihi ila FA kama anafanya utani
Acha upenzi bhana kama unaamini Mond yupo sahihi na FA pia yupo sahihi na ukumbuke FA sio mtu wa mambo ya kiki ukimfananisha na Diamond
 
Back
Top Bottom