Yawapasa muwe waelewa katika vitu vidogo kabla ya kukimbilia vitu vikubwa msivyokuwa na uwezo navyo!
Kwa mujibu wa taratibu za kiafya zilivyotolewa na waziri wetu wa afya ni kuwa kila mtu anayeingia nchini akitokea nchi zenye maambukizi ni lazima awekwe karantin kwa uchunguzi zaid...
na si kuwa mpaka ukutwe na wale wadudu...
Sasa fikiria ni wasafiri wangapi wanaingia hapa nchini?
Je, kila mmoja akiwekwa karantin katika chumba chake vitatosha?
Kwanza nani kawambia kuwa karantin ni total isolation?
Mi navojua ukipimwa ukakutwa na hao wadudu ndo unapigwa total isolation, sio tu kila mtu anayetoka ughaibuni basi huko karantin ni kumfungia chumba chake pekeake kama kaua...
Acheni kuwa na akili visoda hivyo! Hata home lockdowns n makarantin tosha, nako watu wasichangamane na kuenjoy maisha?