Uchaguzi 2020 Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa mwaka huu zitachapishwa humu nchini au zitatoka nje ya nchi?

Na je, hi ndio sababu ambayo imesababisha serikali kukataa fungu kwa ajili ya kusimamia uchaguzi kutoka kwa wahisani aka mabeberu?
 
Mtahoji sana!

Na mwaka huu mtaambiwa muende na pen zenu kama 2015 ilivyokuwa!

Yani mnataka kuipangia serikali hadi sehemu ya kuchapisha karatasi?
Unaona unavyojionyesha ujinga hadharani; hivi hata aibu huna?

"Yani mnataka kuipangia serikali hadi sehemu ya kuchapisha karatasi?" Unauliza swali hili kwa sababu wewe ni mjinga anayekaribia upumbavu!
 
Ushindi wa kishindo wa Magufuli unazidi kuyoyoma endapo CHADEMA watalieleza hili jambo vizuri kwa wananchi lieleweke.
Wizi wa ushindi upo kwenye haya makaratasi ya kupigia kura na wapiga kura wasiokuwepo.
 
Kwa anaefahamu,naomba atujuze kwani teyari mitandaoni watu wameanza kusema yao.

Halafu hivi JAMANA PRINTERS ndio kina nani hasa?

CC: CHADEMA
hata zikichapishwa kilwa masoko,zitaondoa vipi imani yako kwa lissu
ccm itatawala sana,kadiri uchaguzi unavyokaribia ndipo mnavyofanya makosa yale yale ya kujazana hofu na kukatishana tamaa
2010 Slaa alidai kuna kontena lipo tunduma toka Afrika kusini,limejaa kura tayari zimeshapigwa
Lipumba aliwahi kusema peni za kupigia kura ni za mchina zinahama kibox,ukitiki cha upinzani wino unahamia ccm
Ni majuha tu wanaweza kuhoji mambo ya karatasi za uchaguzi
 
CCM hawawezi kushinda huu uchaguzi bila wizi na nguvu za vyombo vya ulinzi na usalama na NEC
 
Kwa anaefahamu,naomba atujuze kwani teyari mitandaoni watu wameanza kusema yao.

Halafu hivi JAMANA PRINTERS ndio kina nani hasa?

CC: CHADEMA
Najua watu wameshajua kwamba wana shindwa uchaguzi, Sasa visingizio vinaanza kutengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…