Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtu ni hatari sana mkuu!MAYANGA & JAMANA ni akili kubwa tu Mkuu. Kishapiga wizi mwingine wa bilioni kama siyo trillion.
Huyu mtu ni hatari sana mkuu!
Ila ajue tu,apandacho mtu,ndicho avunacho. Ipo Siku yake.Sikupenda maneno yangu kuhusu huyo mtu kwamba ni mtu hatari sana na ni janga kubwa la Taifa yawe kweli Mkuu, lakini kila siku kauli yangu hiyo inazidi kuthibitika kwamba ni ukweli mtupu.
Ila ajue tu,apandacho mtu,ndicho avunacho. Ipo Siku yake.
Kila kitu hadharani.
Kigogo ni mpango wa Mungu kama alivyo Lissu.Kigogo anatusaidia sana Mkuu kuona MAOVU ya kutisha ndani ya hii taasisi ovu ya usalama wa JIWE na vibaraka vyake.
Mmeanza visingizio kwa propaganda. Mtakula wa chuya hiyo Oct 28. JPM tano tena.
Weee phaller sana, pesa ni za Watanzania woteMtahoji sana!
Na mwaka huu mtaambiwa muende na pen zenu kama 2015 ilivyokuwa!
Yani mnataka kuipangia serikali hadi sehemu ya kuchapisha karatasi?
Mtahoji sana!
Na mwaka huu mtaambiwa muende na pen zenu kama 2015 ilivyokuwa!
Yani mnataka kuipangia serikali hadi sehemu ya kuchapisha karatasi?
Kigogo ni mpango wa Mungu kama alivyo Lissu.
kufichwa kwa daftari la wapiga kura unapata picha kutakuwa na karatasi za ziada zenye kura za magufuli.
wapinzani tudai kuonyeshwa orodha ya wapiga kura kwenye kila kituo ili tujue jumla yake inafika milioni 29 au la.