Uchaguzi 2020 Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa mwaka huu zitachapishwa humu nchini au zitatoka nje ya nchi?

Uchaguzi 2020 Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa mwaka huu zitachapishwa humu nchini au zitatoka nje ya nchi?

Sikupenda maneno yangu kuhusu huyo mtu kwamba ni mtu hatari sana na ni janga kubwa la Taifa yawe kweli Mkuu, lakini kila siku kauli yangu hiyo inazidi kuthibitika kwamba ni ukweli mtupu.
Ila ajue tu,apandacho mtu,ndicho avunacho. Ipo Siku yake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kigogo anatusaidia sana Mkuu kuona MAOVU ya kutisha ndani ya hii taasisi ovu ya usalama wa JIWE na vibaraka vyake.
Kigogo ni mpango wa Mungu kama alivyo Lissu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
kufichwa kwa daftari la wapiga kura unapata picha kutakuwa na karatasi za ziada zenye kura za magufuli.
wapinzani tudai kuonyeshwa orodha ya wapiga kura kwenye kila kituo ili tujue jumla yake inafika milioni 29 au la.
 
Mtahoji sana!

Na mwaka huu mtaambiwa muende na pen zenu kama 2015 ilivyokuwa!

Yani mnataka kuipangia serikali hadi sehemu ya kuchapisha karatasi?

Hakuna anayetaka kuipangia serikali sehemu ya kuprint hizo karatasi, ila mchakato unatakiwa uwe wazi. Hilo sio jambo binafsi, kuna shida gani watu kutaka kujiridhisha? Sio kila mtu anaiamini serikali, hivyo ni vyema kila hatua ikawa wazi kuepuka haya mashaka. Japo matokeo ya 2015 bado yana utata, lakini kupitia public awareness ile, bado wapinzani walipata kura za kiwango kikubwa.
 
kufichwa kwa daftari la wapiga kura unapata picha kutakuwa na karatasi za ziada zenye kura za magufuli.
wapinzani tudai kuonyeshwa orodha ya wapiga kura kwenye kila kituo ili tujue jumla yake inafika milioni 29 au la.

Hii idadi ya wapiga kura toka ilipotoka nilipata mashaka ya moja kwa moja. Watu tulisema wazi kuwa hiyo idadi ina walakini. Sasa yale mashaka yetu yanazidi kuwa wazi peupe. Ngoja tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.
 
Back
Top Bottom