Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Huu ndio umati?Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
Mkuu hata drone zetu zimeshindwa kujumlisha, unaambiwa ni noma!Idadi ya watu wote duniani inajulikana inakuwaje watu wachache hivyo wakose idadi au wewe juha
USSR
Aione Chura Kiziwi na chawa wake wote!Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
Slaa natamani arudi bungeni!Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
Hawajahesabu ,simple kama hivyo!Idadi ya watu wote duniani inajulikana inakuwaje watu wachache hivyo wakose idadi au wewe juha
USSR
Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
alikuwa dodoma wamemvalisha bango kubwa kama ubaoMkaribisheni na Mch Msigwa arudi kundini asaidiane na Dr Slaa kuipiga mwingi hadi umwagike.
Ungeeleza maana ya umati(siyo UMATI)ukisindikizia na mifano au vibwagizo hai.Huu ndio umati?
Ameshasema kwa umri wake anabakia mshauri wa chama, wasaka vyeo na Ubunge washaenda kujiunga na chama kinachotegenezwa na watawala.Slaa natamani arudi bungeni!
Joni Mrema kashindwa kuelewa maana yake.Anadhani ni chakula aina ya loshoroo.No reforms no election