PreGE2025 Karatu: Dkt Slaa afunga kazi na No Reforms No Election, Umati wa waliohudhuria wakosa Idadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dr. Slaa mzee ana tamaa sana huyo, kapewa hadi Ubalozi haridhiki, alikuwa Padre akaacha, akashindwa sbb ya tamaa ya wanawake, akafunga ndoa, akaacha mke na watoto akaenda kwa mwanamke mwingine Josephine, yote ni tamaa, sio mfano mzuri hata kidogo wa kumtaja kwa jamii.

Kwenye siasa ndio ana tamaa sana katoka Chadema akaja CCM, tukampokea akapewa na Ubalozi, baada ya kustaafu ubalozi, akarudi kwenye siasa, akarudi upinzani, yaani hata Dr. Slaa anachotaka hajui maishani.
 
Tukianza kuandika tabia na maisha binafsi ya watu, hakuna kiongozi wa CCM ambaye atapona.
Ni wachafu kuliko uchafu wenyewe.

Yeyote anayepigania HAKI, huyo ni mtu bora kuliko mchungaji/sheikh/imamu/padre ambaye hata kutamka neno HAKI hawezi.
 
Ccm wakiona hivi chafya zinaongezeka 😂😂😂😂
Chadema walinyimwa uwanja .
Mkuu wa Wilaya akamwagiza DAS afanye kila namna vile viwanja ambavyo huwa vinatumika kunakua na shughuli ya kufanya (wakaagiza walimu na Afisa Maendeleo ya jamii ) kuwepo na matukio bortion ku justify kuwa kuna vitu vinafanyika hata kwa uongo.
Chadema ikabidi waende kwenye ofisi zao sehemu ambayo ni kama 2km kutoka mjini lkn km unavyojua CHADEMA NI KARATU NA KARATU NI CHADEMA.
SIO WABIBI SIO WABABU
SIO VIJANA SIO WAZEE
SIO VILEMA SIO VIWETE
SIO VIZIWI SIO MABUBU
SIO WATUMISHI WA SERIKALI
SIO BODABODA SIO MAMA NTILIE
NYOMI MWANZO MWISHO
 
Hiki chama ukipambana kukiua unakufa wewe.
 
No reforms no election
Kaka anapokanyaga Lissu mwanadamu wa kawaida hawezi kuweka mguu, he has spritual power within ana agenda...Mungu anamtumia kufanya hii kazi ya ukombozi wa hili Taifa letu vilio katika taifa ni vingi na vimemfikia.. kila atakaye jaribu kuweka ligi na yeye atakataliwa na itakuwa mwisho wake awe ana dola ama kapuku kama.mimi atakwisha.

Nitafutie mwanadamu yoyote hapa Duniani aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini mwake na bado anaishi na akili zake zipo sawa sawa.

Kwa hiyo kushindana naye ni kujitakia matatizo makubwa.
 
Chadema walinyimwa uwanja .
Mkuu wa Wilaya akamwagiza DAS afanye kila namna vile viwanja ambavyo huwa vinatumika kunakua na shughuli ya kufanya (wakaagiza walimu na Afisa Maendeleo ya jamii ) kuwepo na matukio bortion ku justify kuwa kuna vitu vinafanyika hata kwa uongo.
Chadema ikabidi waende kwenye ofisi zao sehemu ambayo ni kama 2km kutoka mjini lkn km unavyojua CHADEMA NI KARATU NA KARATU NI CHADEMA.
SIO WABIBI SIO WABABU
SIO VIJANA SIO WAZEE
SIO VILEMA SIO VIWETE
SIO VIZIWI SIO MABUBU
SIO WATUMISHI WA SERIKALI
SIO BODABODA SIO MAMA NTILIE
NYOMI MWANZO MWISHO
Wakushi hawatakagi mchezo 🫶🫶
 
Kaka anapokanyaga Lissu mwanadamu wa kawaida hawezi kuweka ligi, he has spritual power within ana agenda...Mungu anamtumia kufanya hii kazi ya ukombozi wa hili Taifa letu vilio katika taifa ni vingi na vimemfikia.. kila atakaye jaribu kuweka ligi na yeye atakataliwa na itakuwa mwisho wake awe ana dola ama kapuku kama.mimi atakwisha.

Kwa hiyo kushindana naye ni kujitakia matatizo makubwa.
I told them. If they can't fight him it is better for them to join him.
 
Back
Top Bottom