gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kuwa chadema kazi sanaAmeokoka😀😀
Kuwa chadema kazi sanaAmeokoka😀😀
Lazima ukubali kukaa mstari ulionyoka....ukizingua unazinguliwa.Kuwa chadema kazi sana
Sawa ila nitaihitaji na familia ya lissu ambayo ipo ughaibuni iwe front kwenye kudai ukombozi sio sisi peke yetu tuwe mbuzi wa kafara.You got it?Watu wapo tayari - inatakiwa wewe uwe kiongozi wao wakufuate na si kukimbia nchi. Hata wana wa Islael walitamani kujikomboa ila hawakuweza kujua namna hadi Mungu alipomnyenyua Mussa kuwasaidia.
Usiwe na hofu - mwaka huu kuna jambo linakwenda kutokea na kuwa historia - Mungu yupo na Taifa letu na hajawahi kushidwa jambo.
Unataka familia ya Lissu ndio ikupiganie? Team ile ile wewe sio bureSawa ila nitaihitaji na familia ya lissu ambayo ipo ughaibuni iwe front kwenye kudai ukombozi sio sisi peke yetu tuwe mbuzi wa kafara.You got it?
Kwahiyo haiwezekani kujumuika na familia yake?Unataka familia ya Lissu ndio ikupiganie? Team ile ile wewe sio bure
Balozi mstaafu wa tz nchini Sweden......Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
Wewe ungekoswa koswa na walau manati tu si ungehama mtaa na kuuza nyumba yako.Sawa ila nitaihitaji na familia ya lissu ambayo ipo ughaibuni iwe front kwenye kudai ukombozi sio sisi peke yetu tuwe mbuzi wa kafara.You got it?
Anza na ya kwako kwanzaKwahiyo haiwezekani kujumuika na familia yake?
😀😀😀Mbona Watu wachache sana wangeweza kuingia kwenye ofisi ya kijiji na wasingejaa
Hakuna nyingine ,wote wakutafuta ugali.Hawa pia wanqtafuta ugali wa matumbo yao.Hawajapqtq uongozi hawasaidii wananchi,hata kupeleka visima vya maji,Mrema, lipumba, mbatia wale wana category yao......hii nyingine achana nayo
Huu ndio ukweliSawa ila nitaihitaji na familia ya lissu ambayo ipo ughaibuni iwe front kwenye kudai ukombozi sio sisi peke yetu tuwe mbuzi wa kafara.You got it?
Mkiambiwa siasa mchezo mchafu mnajifanya kukaza fuvu ona sasa sijui hata kama unakijua unachojibu haya kwa mfano lissu akisema mgalegale kuanzia dar hadi dom ili mpate ukombozi nawe utafanya hivyo stupidy kabisa hebu tokeni gizani mafala nyinyi mnachelewa sana focus on your goals ya siasa waachieni wanasiasaAnza na ya kwako kwanza
Idadi ya watu wote duniani inajulikana inakuwaje watu wachache hivyo wakose idadi au wewe juha
USSR
Basi we endelea na hadithi za kina mrema, sisi tunasonga Mbele na No reformHakuna nyingine ,wote wakutafuta ugali.Hawa pia wanqtafuta ugali wa matumbo yao.Hawajapqtq uongozi hawasaidii wananchi,hata kupeleka visima vya maji,
Huu ndio ukweli
Alafu utasikia G55 wanajitapa ati ndo waliokua brain ya chadema , usajiri wa wa chadema wa leo sio wa kawaida , dr slaa nguvu yake ni sawa na kundi la G55 na koo zaoSasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
😀😀Alafu utasikia G55 wanajitapa ati ndo waliokua brain ya chadema , usajiri wa wa chadema wa leo sio wa kawaida , dr slaa nguvu yake ni sawa na kundi la G55 na koo zao
And that's why sina shobo na hayo mambo mnayokazia fuvu ni uninga na upuuzi tuWewe ungekoswa koswa na walau manati tu si ungehama mtaa na kuuza nyumba yako.
.hivi ushawahi kusikia mlio wa risasi ya Ak-47 close range? yaani mita 4 toka ulipo? Kwa wewe nafikiri haja zote mbili zingetoka mfululizo na kupoteza fahamu hata kama hujapigwa hata risasi moja.
Lissu is back, hamuweI kujibu hoja zake zore na ndiyo maana mmeona mumuweke ndani mpumue, sasa waambie na wenzio kupumua hakupo.
Tapeli la machame lilituchelewesha sana.Mkaribisheni na Mch Msigwa arudi kundini asaidiane na Dr Slaa kuipiga mwingi hadi umwagike.
Na bado uko jukwaa la siasaAnd that's why sina shobo na hayo mambo mnayokazia fuvu ni uninga na upuuzi tu
Nipo kuwafumbua mafala kama nyinyi mtoke gizaniNa bado uko jukwaa la siasa