4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Uyo mchungaji roho inamuuma sana ,basi tu ,ni swala la mda asema BwanaMkaribisheni na Mch Msigwa arudi kundini asaidiane na Dr Slaa kuipiga mwingi hadi umwagike.
Uyo mchungaji roho inamuuma sana ,basi tu ,ni swala la mda asema BwanaMkaribisheni na Mch Msigwa arudi kundini asaidiane na Dr Slaa kuipiga mwingi hadi umwagike.
Maajabu ya GuenessKaka anapokanyaga Lissu mwanadamu wa kawaida hawezi kuweka mguu, he has spritual power within ana agenda...Mungu anamtumia kufanya hii kazi ya ukombozi wa hili Taifa letu vilio katika taifa ni vingi na vimemfikia.. kila atakaye jaribu kuweka ligi na yeye atakataliwa na itakuwa mwisho wake awe ana dola ama kapuku kama.mimi atakwisha.
Nitafutie mwanadamu yoyote hapa Duniani aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini mwake na bado anaishi na akili zake zipo sawa sawa.
Kwa hiyo kushindana naye ni kujitakia matatizo makubwa.
Msigwa rudi kumenoga. Msaidie rafiki yako uliyempigania ashinde.Naisi Mch Msigwa ana miss Sana hili vibe ...ni basi tu jamaa walimtaim!
Unapoteza mudaNipo kuwafumbua mafala kama nyinyi mtoke gizani
Ni mahabaHakukuwa na msanii yeyote kulaghai wahudhuriaji?!.
Hutaki kupata taarifa za nchi yako?Na ww erythrocyte hakuna trophy yyt utakayopata focus on your goals amka ww unachelewa
Wewe sio chombo habariHutaki kupata taarifa za nchi yako?
Mbona huyo mungu hamtoi huko aliposhikiliwa?Kaka anapokanyaga Lissu mwanadamu wa kawaida hawezi kuweka mguu, he has spritual power within ana agenda...Mungu anamtumia kufanya hii kazi ya ukombozi wa hili Taifa letu vilio katika taifa ni vingi na vimemfikia.. kila atakaye jaribu kuweka ligi na yeye atakataliwa na itakuwa mwisho wake awe ana dola ama kapuku kama.mimi atakwisha.
Nitafutie mwanadamu yoyote hapa Duniani aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini mwake na bado anaishi na akili zake zipo sawa sawa.
Kwa hiyo kushindana naye ni kujitakia matatizo makubwa.
JF ni nini? Halafu kuna ubaya gani kuandika hapa jf?Wewe sio chombo habari
DSOs hawa tunaonyang'anyana nao ma bar maids kila leo na wanaoahidi watu kuwasaidia kupata ajira, kuteuliwa, kupanda vyeo na kuhamishwa ili wanunuliwe bia!!???Hata VIZIWI watasikia tu..DSOs pelekeni taarifa kama zilivyo...Time will tell
Kumbe wewe ni miongoni mwa Watekaji! Basi sawa, ngoja tuone mwisho wakoNipo kuwafumbua mafala kama nyinyi mtoke gizani
Ulimuona shujaa wenu gwajima Nae alikuwepo 😂Umemuona Robot wa ccm Dodoma?
Kasome mistari hii kwenye bible.Mbona huyo mungu hamtoi huko aliposhikiliwa?
Hakukuwa na msanii yeyote kulaghai wahudhuriaji?!.
Mpaka viziwi walikuja kusikiliza nondo 🙌 kweli chadema ni mpango wa mungu 😂Chadema walinyimwa uwanja .
Mkuu wa Wilaya akamwagiza DAS afanye kila namna vile viwanja ambavyo huwa vinatumika kunakua na shughuli ya kufanya (wakaagiza walimu na Afisa Maendeleo ya jamii ) kuwepo na matukio bortion ku justify kuwa kuna vitu vinafanyika hata kwa uongo.
Chadema ikabidi waende kwenye ofisi zao sehemu ambayo ni kama 2km kutoka mjini lkn km unavyojua CHADEMA NI KARATU NA KARATU NI CHADEMA.
SIO WABIBI SIO WABABU
SIO VIJANA SIO WAZEE
SIO VILEMA SIO VIWETE
SIO VIZIWI SIO MABUBU
SIO WATUMISHI WA SERIKALI
SIO BODABODA SIO MAMA NTILIE
NYOMI MWANZO MWISHO
Leta hy mistari ww mwnyw, mm n sina dini hvy sina kitabu cha dini kwangu.Kasome mistari hii kwenye bible.
Matendo 16 : 25 - 40.
Danieli 3 : 16 - 28.
Danieli 6 : 1 - 25.
Kama utaelewa, basi utapata jibu la swali lako.