Watanzania sio wajinga,watakusikiliza hapo,wakiondoka wana yao tofauti.Mikutano ya Mrema ilikuww ikijaza,,na kumpigia deki barabara,mwisho wa wote chama kikapoteza muelekeo.Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
Ana spritual power ndani yake.Kaka anapokanyaga Lissu mwanadamu wa kawaida hawezi kuweka ligi, he has spritual power within ana agenda...Mungu anamtumia kufanya hii kazi ya ukombozi wa hili Taifa letu vilio katika taifa ni vingi na vimemfikia.. kila atakaye jaribu kuweka ligi na yeye atakataliwa na itakuwa mwisho wake awe ana dola ama kapuku kama.mimi atakwisha.
Kwa hiyo kushindana naye ni kujitakia matatizo makubwa.
Tamaa nyingi.mbele gizaDr. Slaa mzee ana tamaa sana huyo, kapewa hadi Ubalozi haridhiki, alikuwa Padre akaacha, akashindwa sbb ya tamaa ya wanawake, akafunga ndoa, akaacha mke na watoto akaenda kwa mwanamke mwingine Josephine, yote ni tamaa, sio mfano mzuri hata kidogo wa kumtaja kwa jamii.
Kwenye siasa ndio ana tamaa sana katoka Chadema akaja CCM, tukampokea akapewa na Ubalozi, baada ya kustaafu ubalozi, akarudi kwenye siasa, akarudi upinzani, yaani hata Dr. Slaa anachotaka hajui maishani.
HakikaHiki chama ukipambana kukiua unakufa wewe.
Wapi.Ameshqpoteza muelekeo.Tamaa mbele tuAna spritual power ndani yake.
Wazungu wengi hawaamini mambo kama haya ila inapofika sayansi ikafeli wanasema it is someting Natural or Sprit
Haa HaaBila Shaka Hakuna MsaniiHakukuwa na msanii yeyote kulaghai wahudhuriaji?!.
Sasa unalia nini?Watanzania sio wajinga,watakusikiliza hapo,wakiondoka wana yao tofauti.Mikutano ya Mrema ilikuww ikijaza,,na kumpigia deki barabara,mwisho wa wote chama kikapoteza muelekeo.
Mrema alikuwa mpaka akipigiwa deki.barabarani,,kumbe walikuwa wanamuinjoi tu.Waksmuacha solembaAna spritual power ndani yake.
Wazungu wengi hawaamini mambo kama haya ila inapofika sayansi ikafeli wanasema it is someting Natural or Sprit
kwahiyo hapo ndio mikutano yenye umati wa funga kaz dah ? kweli wafu waachwe wazikane wenyewe 🐒Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Hebu angalia Mzee huyu Dkt Slaa akivurumisha Elimu ya Demokrasia mbele ya umati mkubwa mno.
View attachment 3349812View attachment 3349814View attachment 3349816View attachment 3349818
Shida inapoanza sasa sisi tunaotakiwa kukumbolewa, hatuko tayari sasa sijui itakuaje!!Kaka anapokanyaga Lissu mwanadamu wa kawaida hawezi kuweka mguu, he has spritual power within ana agenda...Mungu anamtumia kufanya hii kazi ya ukombozi wa hili Taifa letu vilio katika taifa ni vingi na vimemfikia.. kila atakaye jaribu kuweka ligi na yeye atakataliwa na itakuwa mwisho wake awe ana dola ama kapuku kama.mimi atakwisha.
Nitafutie mwanadamu yoyote hapa Duniani aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini mwake na bado anaishi na akili zake zipo sawa sawa.
Kwa hiyo kushindana naye ni kujitakia matatizo makubwa.
Mrema, lipumba, mbatia wale wana category yao......hii nyingine achana nayoMrema alikuwa mpaka akipigiwa deki.barabarani,,kumbe walikuwa wanamuinjoi tu.Waksmuacha solemba
Mkuu si ulete wale wenye rangi ya kijana huko dom leo?Kikosi cha editing kinaendelea na kazi yake, yaani mpaka watu wamekuwa wa rangi nyekundu
Umemuona Robot wa ccm Dodoma?Kikosi cha editing kinaendelea na kazi yake, yaani mpaka watu wamekuwa wa rangi nyekundu
Watu wapo tayari - inatakiwa wewe uwe kiongozi wao wakufuate na si kukimbia nchi. Hata wana wa Islael walitamani kujikomboa ila hawakuweza kujua namna hadi Mungu alipomnyenyua Mussa kuwasaidia.Shida inapoanza sasa sisi tunaotakiwa kukumbolewa, hatuko tayari sasa sijui itakuaje!!
Dokta mihogoMkuu hata drone zetu zimeshindwa kujumlisha, unaambiwa ni noma!
CCM ni chama kina embrace technolojia, chadema walijua ni majini hayoUmemuona Robot wa ccm Dodoma?
Ameokoka😀😀Dokta mihogo