residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Lissu "course" has nothing to do with his family.Sawa ila nitaihitaji na familia ya lissu ambayo ipo ughaibuni iwe front kwenye kudai ukombozi sio sisi peke yetu tuwe mbuzi wa kafara.You got it?
Kumbe hujui kuwa vitabu vyote vya dini zote vipo kwenye internet!!!??Leta hy mistari ww mwnyw, mm n sina dini hvy sina kitabu cha dini kwangu.
Karibu hapa mirembe, nipo chumba no. 12Leo nimeamini kuwa hapa JF wakati mwingine tunajadiliana na binadamu wasio timamu.
Jitahidi kuandika "kirijali" kama wewe ni "me" kamili.Leta hy mistari ww mwnyw, mm n sina dini hvy sina kitabu cha dini kwangu.
Umemis kukazwa?Jitahidi kuandika "kirijali" kama wewe ni "me" kamili.
Hupaswi kuandika "hy", " ww", "mwnyw", " mm", "n", " hvy" humu JF, maana ni miandiko ya watoto wa kike wasiojitambua ama mashoga.
Ukiona hvo ujue anaongoza got mwislamu akitoka anarudi ccmI am happy to see Dr. Silaa Again in Cdm Movement πππ
Nilicheka sana nilipoona mtu mzima anatamani ardhi ipasuke immeze,Joni Mrema kashindwa kuelewa maana yake.Anadhani ni chakula aina ya loshoroo.