Uchaguzi 2020 Karatu: Shughuli imeanza, mgombea Ubunge wa CHADEMA aendelea na kampeni

Uchaguzi 2020 Karatu: Shughuli imeanza, mgombea Ubunge wa CHADEMA aendelea na kampeni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni kama game ni ya upande mmoja tu, kampa kampa tena na hakuna namna CCM inaweza kuambulia chochote bali kuna tetesi kwamba mgombea wao wa ubunge anafikiria kujitoa.

Hata ungekuwa wewe kwa hali kama hii ungefanyaje?

Subpost 2 - Mheshimiwa - ParessoCecilia akiendelea na Kampeni zake huko Mangola l ( 479 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mheshimiwa - ParessoCecilia akiendelea na Kampeni zake huko Mangola l ( 479 X 640 ).jpg
 
Erythrocyte,
Wairaq hawa ni Waethiopia kabisa, hawa watu wanakili sana huwa namshangaa Slaa alikwama wapi. Lakini chimbuko lao wanakaribiana sana na Wanyaturu mfano muangalie Lissu au Nyalandu.
 
Karatu na Moshi mnapoteza kwa ujinga wenu
Ni kama game ni ya upande mmoja tu , Kampa kampa tena , na hakuna namna ccm inaweza kuambulia chochote , bali kuna tetesi kwamba mgombea wao wa ubunge anafikiria kujitoa...
 
Ni kama game ni ya upande mmoja tu , Kampa kampa tena , na hakuna namna ccm inaweza kuambulia chochote , bali kuna tetesi kwamba mgombea wao wa ubunge anafikiria kujitoa...
Mapema tu CCM is obsoleted
 
CHADEMA chama changu, Mungu ibariki Chadema. Mungu wabariki viongozi wangu wa CHADEMA.
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
 
Huku anatakiwa aje Magufuli mwenyewe ili aombe mitano mingine.
Wasipompa anawakomesha, hatoi fedha za Maendeleo. Jamaa ana visasi sana
 
Erythrocyte,
Wairaq hawa ni Waethiopia kabisa, hawa watu wanakili sana huwa namshangaa Slaa alikwama wapi. Lakini chimbuko lao wanakaribiana sana na Wanyaturu mfano muangalie Lissu au Nyalandu.
Hawana akili ni wapumbavu wa kutosha. Kuna mmoja wao nilipoongea nae kuhusu uchaguzi alisema kuwa hawachaguwi awakii kwa sababu hana Elimu. Ila nikamuuliza tena Elimu kwa Awakii ingewasaidiaje au wanakosa nini kwa yeye kutokuwa na elimu? Alisema hakuna haja ya kusomesha watoto halafu wewe ukalioa ada na kisha kuchagua ambae hana elimu. Mimi sikumuelewa kabisa. Ila kifupi ni kwamba wao huchagua kwa jazba na hawajuwi walifanyalo. Halimashauri iliongizwa na Cdm na waliwala haswaaa lakini hawakomi. Sio wajanja hata ni wanamihemuko ty.
 
Wananchi wa Karatu hawajawahi kufanya ujinga,kasoro yule mwanamke Gekuli aliyeunga juhudi kwa woga!
 
Back
Top Bottom