Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

Sipendi wanafiki mimi.

Ndio maama hata hayo makanisa yao siendagi.
 
Jihadharini na chachu ya mafarisayo
Wanachoangalia ni SHEKELI
Ushasikia wakikemea UFISADI ndani ya hii nchi hao viongozi wa dini
Hawawezi maana wanao nufaika na uwo ufisadi ni watu wao wa karibu
Nb. Membe apewe pesa yake haraka.
 
Jihadharini na chachu ya mafarisayo
Wanachoangalia ni SHEKELI
Ushasikia wakikemea UFISADI ndani ya hii nchi hao viongozi wa dini
Hawawezi maana wanao nufaika na uwo ufisadi ni watu wao wa karibu
Nb. Membe apewe pesa yake haraka.
Membe alipwe
 
Nimesema siku zote kuwa hatuna viongozi wa dini bali wajailia dini. Bladfaken bastard kama walinyamaza wakati uovu unatendeka, basi wanyamaze wakati uovu unakemewa.
Viongozi wa dini haramu walionyamaza kimywa wakati watu wanatekwa huku wakiwaunga mkono watekaji.

Kwanza mimi hao watu nilishawafuta kwenye list ya dini.

Kwanza hata injili zao huwa hazieleweki😅😅
 
Viongozi wa dini haramu walionyamaza kimywa wakati watu wanatekwa huku wakiwaunga mkono watekaji.

Kwanza mimi hao watu nilishawafuta kwenye list ya dini.

Kwanza hata injili zao huwa hazieleweki[emoji28][emoji28]
Ni wanafiki wa kupindikia ingekuwa enzi za yesu Hawa ndio ambao wangedai baraba aachiwe huru na masihi asulubiwe
 
Binafsi kama mkatoliki hua sipendi viongozi wa dini wanafiki kama kadnali Pengo ni hawahawa walihongwa pesa za Escro nakukaa kimya wakati wakisemwa wao huona furaha watu wakiwa wanavunjiwa heshima zao kujifanya wanyenyekevu lakini kiukweli ni wezi tu na watu wasiofaa
 
Mahakama kukubali kujihusisha na kesi za madai yenye mlengo wa kisiasa kunaenda kuua uhuru wa habari na maoni na kuziba watu midomo kuibua skendo za uhujumu nchini zikiwemo ubadhirifu mkubwa mithili ya ule ulioibuliwa na CAG. Kwa sababu hao watu watakuwa na ukwasi mkubwa ni rahisi wao kukimbilia kutumia mahakama kwa kuwalipa mawakili nguli na kupenyeza pesa kila mahali.
 
100%
 
We Una akili timamu kweli, Dini kazi yake ni Amani, kazi ya kiongozi wa dini ni kusuruhisha whatever the case, ujinga umekujaa
Wangesuluhisha pia wakati Membe Anadhalilishwa!
Walifanya hiyo??[emoji101][emoji101]
Isiwé mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu ni mchungu!
 
Pengo na Malasusa ni viongozi wa dini vibaraka wa serikali, wamekuwa wakitumika na serikali waziwazi kuikinga kwenye kashfa zake pamoja na viongozi wao.
 
PENGO ALIUKANA WARAKA MPAKA WAKAPARURANA NA ASKOFU GWAJIMA
 
We Una akili timamu kweli, Dini kazi yake ni Amani, kazi ya kiongozi wa dini ni kusuruhisha whatever the case, ujinga umekujaa
Pengo na Malasusa hawakuwahi kumkemea MUSIBA wakati anawatukana Watu kwa sababu walikuwa Upande wa aliyekuwa anamtupa MUSIBA ambaye ni MAGUFULI
Kwanini LEO ndio wanajifanya WAPATANISHI? Huo ni UNAFIKI
Mzee MEMBE USIKUBALI DAI FEDHA ZAKO huyo MUSIBA alikudhalilisha sana
 
Wakati Msiba anatukana viongozi wataafu wangemkemea pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…