Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

Ripoti ya CAG ijadiliwe humu mara ngapi kilichobaki ni serikali kuchukua hatua wakipenda na wasipopenda wakaushe tu maana hatuna cha kuwafanya
 
Mafisadi wanaendelea kupiga pesa na wewe usiyejielewa kodi zako zinapigwa umekalia kuandika uharo mitandaoni uliojaa chuki na visasi eti Membe shikilia hapo hapo itakusaidia nini sasa huku mafisadi wakiendelea kuchezea kodi zetu kwa raha zao
 
Wakati Magufuli anazalilishwa na Mange kimambi, Tobias Marandu nyie nyumbu mlikuwa wapi? Mbona hamkukemea
 
Mafisadi wanaendelea kupiga pesa na wewe usiyejielewa kodi zako zinapigwa umekalia kuandika uharo mitandaoni uliojaa chuki na visasi eti Membe shikilia hapo hapo itakusaidia nini sasa huku mafisadi wakiendelea kuchezea kodi zetu kwa raha zao
Sijielewi vp? Ndio maana tunapigania katiba Mpya sisi tunaojielewa maana kwa hiii tuliyo nayo hatuna chochote cha kuwafanya watawala hata wakiamua kuiuza nchi, wewe kenge ukiambiwa katiba Mpya unadai wananchi hawali katiba, halafu hapa unajamba ooo CAG sijui kafanya nini na ripoti yake. Jielewe wewe
 
Hata wewe haupo msafi au mwema ndio maana Mwenyezi Mungu amekusamehe hajakuhukumu acha nakala zako za chuki na visasi zilizojaa unafiki
Kuuliza wakati huyo kichaa anatukana na kukashfu watu hao viongozi wanafiki wa dini walikuwa wapi ni chuki?
 
Kweli kabisa !
 
Unajua kwanini shetani hakupewa msamaha? Unataaka kusema Mungu hapendi amani?
Tuwaelimishe tu Hawa wakariri mistari ya biblia bila kuelewa maana zake Wana shida sana ni sawa na wavuta sigara bwege kaka hawaambiliki na hawaelewi hata kidogo
 
Wewe ndio unaona ni unafiki ila wenzako walikuwa wanafaidi
 
Siku musiba akitoka hadharani na kumuomba Mzee Membe, wastaafu na watanzania wote aliowachafua nitakuwa wa kwanza kumshawishi kachero Membe kumsamehe lkn vinginevyo MEMBEapewe pesa zake alidhalilishwa sana
 
Kwa hiyo unawataka watanzania wafanye nini Sasa hebu weka ushauri wako sio una laumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…