Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

Kwani Kenya si wamepata katiba mpya mbona kwao ufisadi upo juu sana je hiyo katiba mpya ya Kenya imeshindwa kumaliza ufisadi wa Kenya tukaitolea mfano inchi iliyokomesha ufisadi kwa kupata katiba mpya?
 
Kuuliza wakati huyo kichaa anatukana na kukashfu watu hao viongozi wanafiki wa dini walikuwa wapi ni chuki?
Ndiooo nakuuliza matusi ya kina Mange kimambi na Tobias Marandu juu ya Magufuli mbona nyie nyumbu mnajinasibu wapenda haki hamkukemea?
 
Kuna tofauti ya kudhalilishwa na kukemewa
Kukemea ndio kumtukana rais Magufuli matusi leo unayaona makosa ya Musiba ila kina Mange kimambi na Tobias Marandu hukuona wewe na genge lako la nyumbu ndio wanafiki wakubwa na mmejaa uzandiki na visasi
 
Hapo hakuna kiongozi wa dini hata mmoja ni matapeli tupu
 
Well said
 
Kukemea ndio kumtukana rais Magufuli matusi leo unayaona makosa ya Musiba ila kina Mange kimambi na Tobias Marandu hukuona wewe na genge lako la nyumbu ndio wanafiki wakubwa na mmejaa uzandiki na visasi
ACHA matusi mkuu raisi magulpfuli hakuwahi kutukanwa na hao viumbe maana angewanyoosha bwana
 
Jikite kwenye mada. Mada iliyoko mezani inahusu maaskofu Pengo na Malasusa kumuomba Membe amsamehe Musiba.
Ripoti ya CAG na kupanda gharama za maisha, ni concern kubwa, tunapaswa kijadili barabara kwenye nafasi yake.
 
Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule.
Haikuwa poa sana, nadhani hata kanisa lilikwazika. Nadhani around that time, (and partly for that reason) ndipo akateuliwa Ruwaichi kuwa askofu mkuu mwandamizi.
 
Mafisadi wanaendelea kupiga pesa na wewe usiyejielewa kodi zako zinapigwa umekalia kuandika uharo mitandaoni uliojaa chuki na visasi eti Membe shikilia hapo hapo itakusaidia nini sasa huku mafisadi wakiendelea kuchezea kodi zetu kwa raha zao
Kwani we hutoshi kuandika habari uzitakazo mpk utupangie na sie kuandika uyapendayo?
 
We Una akili timamu kweli, Dini kazi yake ni Amani, kazi ya kiongozi wa dini ni kusuruhisha whatever the case, ujinga umekujaa
Usijifiche kwenye kivuli cha amani ya dini kama mnataka amani si imetafutwa kwa mjibu wa sheria mahakama! [emoji848] Sasa zile kashfa za msiba kipindi kile zilikuwa na amani gani??? Na je mliiomba hiyo amani kwa waliokuwa wanachafuliwa? [emoji848] [emoji848]
 
Kukemea ndio kumtukana rais Magufuli matusi leo unayaona makosa ya Musiba ila kina Mange kimambi na Tobias Marandu hukuona wewe na genge lako la nyumbu ndio wanafiki wakubwa na mmejaa uzandiki na visasi
Na wewe nenda Mahakamani ukathibitishe hayo matusi alotukanwa marehemu wenu
 
Pengo na Malasusa ni viongozi wa dini vibaraka wa serikali, wamekuwa wakitumika na serikali waziwazi kuikinga kwenye kashfa zake pamoja na viongozi wao.
Right. Mchungaji anapaswa kulinda kondoo dhidi ya kila hatari, hata ikibidi kupoteza uhai. Wakati wa magufuli wachungaji walijificha uvunguni wakamwachia mbwamwitu akawatesa kondoo wa bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…