Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Kama tuna maRC na maDC wanajeshi wastaafu, kuna kosa gani Askofu mstaafu kusifia ili ateuliwe kuwa DC akingoja kuchaguliwa kuwa Papa? Wateule vijana wanamuangusha mteuaji labda ajaribu wastaafu maana hakuna mteule mwanajeshi aliyetenguliwa.Ngoja tuone...
Lazima asifie, la sivyo ataambiwa akaoneshe kaburi la bibi wa bibi yake bibi yake ili kuthibitisha uraia wake...
Cc: mahondaw
Maomni ya Pengo si maoni ya kanisa katolikiKanisa Katoliki DRC liliukataa udikteta wa kabila, Kanisa Katoliki huku TZ linatetea Udikteta. Mimi ndio maana Jumamosi huwa nanywea hela zote nilizonazo ili Asubuhi ya Jumapili niamke sina sadaka.
Cardinal officialSitaki kuamini kama ni cardinal kaongea hayo
Mkuu usifuate mkumbo, hata kiongozi wa dini mbele za Mungu ni binadamu wa kawaida tu kama wewe!Tanzania ni nchi ya hovyo sana. Yani viongozi wa dini hawaogopi kabisa kulaghai na kutetea mitumbo yao....sasa kama viongozi wa dini wenyewe hawamwogopi MUNGU, sisi tumuogope wa nini?
Mwenye akili ni wewe tu mkuu Stuxnet.Kwani wakiitwa wenye akili wasimame juu, na wewe utasimama?
MI HUWA nasikia mapadre wengi ni wasomi an usomi maana yake sio kuwa na vyeti vyenye GPA bali uwezo wako wa kutafakari na kudadavua masuala mbali mbali,kweli JPM kafanya mengi ila maendeleo gani yanaendana na ubaguzi,ubabe,hofu ba dhuluma,watu wamebomolewa nyumba ubungo kimara ujenzi hadi leo hujafanyika,wapinzani wanaishi kama watumwa ndani ya nchi yao,ukimkosoa wewe adui ukimsifia wewe rafiki,kwa nn hajiulizi kama anafanya mengi mazuri kwa nn uoga mkubwa,hajiamini ye kuvaa kijeshi tu,kutishia tu,kuwamaliza wapinzani tu,kwa nn kaogopa hadi uchaguzi wa s/mitaa kwa nn kama yuko at right kuna nn nyuma yake,huyu mzee nahc anavuna fadhila na akili ya usomi inapungua kwa kasi na akili ya uzee inaingia kwa kasiLeo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo
Mussolin aliondoa baa au balaa la Malaria Katika mji mdogo wa Italia, Kwa mujibu wa kardinal Pengo wakati huo malaria ilitishia maisha ya watu hapo Italia
Kuna mambo mazuri ya Mussolin na Hiltrer hayazungumzwi kwa mujibu wa kardinal Pengo
Pengo amesisitiza darasani watu hufundishwa Hiltrer aliua wayaudi zaidi ya Milioni sita lakini hawataki Kuongelea mazuri ya Hitler
Pengo ameiomba jamii itofautishe kati ya Dictate na neno dictator
Akijenga hoja kuhusu watu wanaomuandika mheshimiwa Rais kuwa ni dictator,amewaomba watafakari upya
Je, kujenga hospital ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Je, watoto kusoma bure wao na wajukuu zao ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Amepongeza uongozi wa Makonda kama moja ya watu vijana wanamsaidia Rais
Aidha Kardinal Pengo amesema alikuwa na hofu Rais wa sasa akimaliza muda wake nani atafaa na kufanya kama Rais wa sasa, Hofu imepungua kuona kuna vijana kama Makonda wanachapa kazi
Kardinal Pengo amesisitiza uwepo wa vijana wachapa kazi kama Makonda na wakijitokeza wengi hana shaka kabisa kazi za Rais zitaendelezwa vizuri
Kwa mujibu wa kardinal Pengo na Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es Salaam amesema haya mambo ya kumuita Rais dikteta anayasoma mitandaoni lakini pia kwa Uzee wake kuna watu wema wanampa taarifa nini kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii
Mwana Jamii Forum aitwaye "Barafu" ameelezea sana kwenye uzi mmoja jinsi Mussolin alivyoliteka kanisa wakati huo na kukandamiza Raia huko Italia
Hili la Hiltrer na Mussolin Nadhani ni elimu mpya kuwa kuna mambo mazuri walifanya
Tunaruhusu povu kwa wale wanaowalaumu viongozi wa kikatoliki, Kikubwa Wakatoliki kila jumapili kabla ya kuanza misa hutubu dhambi zao tofauti na wale wanaoanza kukusanya sadaka
====
Kardinali Pengo amewashangaa watu wanaomuita Rais wa Tanzania, John Magufuli dikteta na kueleza kuwa wanakosea.
Akizungumza leo Jumatatu Novemba 18, 2019 wakati wa mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda, Kardinali Pengo amesema kumekuwa na watu wanaozungumza maneno ya kupotosha kuhusu rais Magufuli.
“Katika mitandao kumezuka maneno kwamba Rais wetu ni dikteta. Hivyo yale anayoyafanya anashughulikia kuendeleza vitu kuliko kuendeleza watu.”
“Wanaongelea juu ya kushughulikia vitu kuliko watu, ni watu gani hao hawajashughulikiwa wakati mambo mengi yanafanyika kwa ajili ya watu,” amesema Kardinali Pengo
Kiongozi huyo wa kiroho amesema, “Ni lugha ambayo kwa akili zangu za kizee siwezi kuelewa, utakuwa unamshughulikia mtu kiasi gani kama unamfanya mtoto wake na mjukuu wake waende shule.”
Kardinali Pengo ambaye ni Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam amempongeza Makonda na kumtaja kuwa ni miongoni mwa wasaidizi bora wa Rais Magufuli.
“Nimefurahi, imenidhihirishia wewe ni kiongozi wa aina gani na tunamuomba Mungu atujalie viongozi wa aina yako wengi. Wewe (Makonda) ni mmoja kati ya wasaidizi bora wa Rais Magufuli.”
“Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wengi wa aina yako nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafuata baada yake,” amesema
Chanzo: Mwananchi
Hoja za Kardinali ni hoja zake binafsi na Sio hoja za Kanisa, hivyo basi maoni yake yaheshimiwe kama mtanzania yeyote mwenye haki yakueleza mapendekezo yake.Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo
Mussolin aliondoa baa au balaa la Malaria Katika mji mdogo wa Italia, Kwa mujibu wa kardinal Pengo wakati huo malaria ilitishia maisha ya watu hapo Italia
Kuna mambo mazuri ya Mussolin na Hiltrer hayazungumzwi kwa mujibu wa kardinal Pengo
Pengo amesisitiza darasani watu hufundishwa Hiltrer aliua wayaudi zaidi ya Milioni sita lakini hawataki Kuongelea mazuri ya Hitler
Pengo ameiomba jamii itofautishe kati ya Dictate na neno dictator
Akijenga hoja kuhusu watu wanaomuandika mheshimiwa Rais kuwa ni dictator,amewaomba watafakari upya
Je, kujenga hospital ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Je, watoto kusoma bure wao na wajukuu zao ni udikteta? Amehoji kardinal Pengo
Amepongeza uongozi wa Makonda kama moja ya watu vijana wanamsaidia Rais
Aidha Kardinal Pengo amesema alikuwa na hofu Rais wa sasa akimaliza muda wake nani atafaa na kufanya kama Rais wa sasa, Hofu imepungua kuona kuna vijana kama Makonda wanachapa kazi
Kardinal Pengo amesisitiza uwepo wa vijana wachapa kazi kama Makonda na wakijitokeza wengi hana shaka kabisa kazi za Rais zitaendelezwa vizuri
Kwa mujibu wa kardinal Pengo na Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es Salaam amesema haya mambo ya kumuita Rais dikteta anayasoma mitandaoni lakini pia kwa Uzee wake kuna watu wema wanampa taarifa nini kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii
Mwana Jamii Forum aitwaye "Barafu" ameelezea sana kwenye uzi mmoja jinsi Mussolin alivyoliteka kanisa wakati huo na kukandamiza Raia huko Italia
Hili la Hiltrer na Mussolin Nadhani ni elimu mpya kuwa kuna mambo mazuri walifanya
Tunaruhusu povu kwa wale wanaowalaumu viongozi wa kikatoliki, Kikubwa Wakatoliki kila jumapili kabla ya kuanza misa hutubu dhambi zao tofauti na wale wanaoanza kukusanya sadaka
====
Kardinali Pengo amewashangaa watu wanaomuita Rais wa Tanzania, John Magufuli dikteta na kueleza kuwa wanakosea.
Akizungumza leo Jumatatu Novemba 18, 2019 wakati wa mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda, Kardinali Pengo amesema kumekuwa na watu wanaozungumza maneno ya kupotosha kuhusu rais Magufuli.
“Katika mitandao kumezuka maneno kwamba Rais wetu ni dikteta. Hivyo yale anayoyafanya anashughulikia kuendeleza vitu kuliko kuendeleza watu.”
“Wanaongelea juu ya kushughulikia vitu kuliko watu, ni watu gani hao hawajashughulikiwa wakati mambo mengi yanafanyika kwa ajili ya watu,” amesema Kardinali Pengo
Kiongozi huyo wa kiroho amesema, “Ni lugha ambayo kwa akili zangu za kizee siwezi kuelewa, utakuwa unamshughulikia mtu kiasi gani kama unamfanya mtoto wake na mjukuu wake waende shule.”
Kardinali Pengo ambaye ni Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam amempongeza Makonda na kumtaja kuwa ni miongoni mwa wasaidizi bora wa Rais Magufuli.
“Nimefurahi, imenidhihirishia wewe ni kiongozi wa aina gani na tunamuomba Mungu atujalie viongozi wa aina yako wengi. Wewe (Makonda) ni mmoja kati ya wasaidizi bora wa Rais Magufuli.”
“Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wengi wa aina yako nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafuata baada yake,” amesema
Chanzo: Mwananchi
Lkn anawafuasi na anawakilishaHoja za Kardinali ni hoja zake binafsi na Sio hoja za Kanisa, hivyo basi maoni yake yaheshimiwe kama mtanzania yeyote mwenye haki yakueleza mapendekezo yake.
Hujui usemalo. Utumishi wa Munguhaujamtoa kwenye uwezekani wa kuweza kutumika.,... Ni binadamu yuleyule wa kabla ya darajaPengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Anamwakilisha nani? Huyu ni mstaafu. Kwa sasa hakuna anayemwakilisha.Lkn anawafuasi na anawakilisha
Pricisely!!Mwenye akili ni wewe tu mkuu Stuxnet.
Kwani unafiki ni nini ni kusema ukweli pasipo husika au kusema kisicho kweli?Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki