Catholic siyo taasisi ya kidikteta ila huyu mzee pengo anatuangusha kwa kulazimisha kuingiza u-ccm wake kwenye dini yetu pendwa. Ameisha retire, kama anataka siasa achukue jezi la kijani apande jukwaani apige siasa.Hana hasara ashamaliza dunia yuko saa 10 jioni.Asikitikii kizazi kilichobaki.Amelelewa ktk mfumo wa udikteta wa kanisa ambapo muumini uruhusiwi kuhoji juu ya mafundisho yeyeto ya kanisa zaidi ya kuyapokea.
Njaa haina umriHizi ni dalili mbaya hasa kwa mtu wa umri alionao.
Vyuma vimekaza ,uwezo wetu wakifikiri umeishaNaunga mkono hoja
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
P
Kumbe una habari ya mema ya Hitler na Mussolini?Tungepata mtu kama Adolf Hitler au Musolin atuongoze Tanzania kwa miaka 20 nadhani tungeweza ongea lugha moja maana tumezoea fyokofyoko sana.
Tunahukumu ubaya wao kwa kusoma historia ambayo tuliandikiwa na muingereza kipindi wanatugombani. Tunafuata mkumbo wa kuwachukia kwa chuki ya kupandikizwa.
Kinachoshangaza zaidi mazuri yaliofanywa na Hitler na Mussolini hayasemwi.
Amejidhalilisha sanaTuombe Mungu sanaView attachment 1266980
nitajie mtoto wa TANZANIA Mmoja anayesoma bure. watoto wa Tanzania hawalipi ada tu.Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Naamini kanisa ndo huandaa viongozi wa Taifa hili,Si muna juwa ule mfumo Kriii s toooKardinali Pengo anawaza nani atafuata baada ya Rais magufuli.......Takbiiiiiiiiiirrrrrrrrrrr
Wewe umepatia ,hizo ndo sera zao,Alimradi mradi wao uwaendee vizuri.Ilishasemwa mara nyingi tu kuwa Kanisa Katoliki liko nyuma ya madikteta wengi duniani. Si ajabu Papa John Paul wa pili aliuomba radhi ulimwengu mwaka 2000 kwa kitendo cha Kanisa Katoliki kukaa kimya bila kuwakemea wale madikteta Wakatoliki Hitler na Mussolini.
Hata Yuda Iskariote alikuwa mwanafunzi mtiifu wa Yesu... Hata Petro aliyemkana Yesu alikuwa mwanafunzi wa Yesu...Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
shetani pia nasaidia watu wanapata umaarufu na pesa wanaishi maisha ya raha ,sasa mkuu unapopata chance sambaza hiyo video tumsaidie mzee wetu kusambaza maneno yake ya busara duniani koteMimi namwombea asimsifie na shetani!! Kwa sababu shetani anatoa unabii kupitia manabii wa uwongo, kupitia huyo huyo shetani watu wanapokea miujiza ya kuponywa na hata utajiri! Je, hayo aliyoyafanya shetani ni mabaya?
Lakini pamoja na hayo yote sehemu yake imeshaandaliwa kuwa ni jehanamu