profftobe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 906
- 939
Catholic siyo taasisi ya kidikteta ila huyu mzee pengo anatuangusha kwa kulazimisha kuingiza u-ccm wake kwenye dini yetu pendwa. Ameisha retire, kama anataka siasa achukue jezi la kijani apande jukwaani apige siasa.Hana hasara ashamaliza dunia yuko saa 10 jioni.Asikitikii kizazi kilichobaki.Amelelewa ktk mfumo wa udikteta wa kanisa ambapo muumini uruhusiwi kuhoji juu ya mafundisho yeyeto ya kanisa zaidi ya kuyapokea.