Tanzania ni nchi ya hovyo sana. Yani viongozi wa dini hawaogopi kabisa kulaghai na kutetea mitumbo yao....sasa kama viongozi wa dini wenyewe hawamwogopi MUNGU, sisi tumuogope wa nini?Hata viongozi Wa dini Wa Kenya awafungamani na wanasiasa wanaokiuka haki za watu awampambi mtu hawana unafiki blue uita blue.Sababu mfumo wao Wa maisha hauamuliwi na mwanasiasa.Kanisa katoliki Congo limechangia pa kubwa kumfurusha dikteta kabila aliyetaka kuzidi kukaa madarakani kwa kutokuheshimu katiba na makubaliano ya wakongomani.
Kwa hiyo Kardinali Pengo anahalalisha mauwaji, udikteita, ukandamizaji watu na dhuluma za wazi kisa maendeleo??
Kanisa la Roman lilishirikiana na Hitler na Musolin kukandamiza watu kwenye tawala za kidikteita.
Hata Hitler alivyo angamiza Wayaudi hawakutia neno, hizo ni hulka zao!
Damu za watu zinalia mbele za Mungu kama damu ya Habili, hiyo ni laana Bwn Pengo atambue hilo!!
Yeyote aliyewekwa kutawala watu kwa ridhaa yao kawekwa na mungu na ni mtumishi wa mungu, ila kula maharagwe na kwenda mbele ya wafuasi wako kunaeza kukuaibisha maana maharagwe yana tabia ya kuvimbisha tumbo......Pengo ni Mtumishi wa Mungu huwa hana unafiki
Naona Pengo kanijibu,ha ha ha...alijisoma nilivyolisema kanisa na uhusiano wake na Mussolini...Mzee kama kapanic vileHuu uzi unafurahisha sana .nimecheka..eti aasema alikua ana hofu nani atamrithi Magu..hofu imeisha baada ya kumuona Makonda!😅!safi sana Pengo!
barafu kazi unayo
Lakini wazee walishasema wakaambiwa wanawashwawashwa!🤷Yaani huu ujuha unaoendelea inabidi "wazee" waingilie kati mapema sana kabla jua halijazama. Dalili zote za "kuhalalisha haramu" zipo wazi.
Mbona kama kauli ni tatanishi?
Gwajima yuleee siyo huyu wa kwichi kwichi, sasa hivi wanaimba pambio moja.Huyu kiboko yake ni Gwajima tu.