Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Binafsi siamini kuwa yaliyoandikwa na mleta uzi ndiyo yaliyotamkwa na Askofu mkuu mstaafu. Kama Askofu mkuu mstaafu Kardinali Policarp Pengo katamka kuwa Musolini na Hitler wanaonewa kwa kusemwa kwa mabaya tu, basi ni heri kusema kapotoka. La sivyo, atoe ufafanuzi wa kina kwa kauli hiyo.
 
Hata viongozi Wa dini Wa Kenya awafungamani na wanasiasa wanaokiuka haki za watu awampambi mtu hawana unafiki blue uita blue.Sababu mfumo wao Wa maisha hauamuliwi na mwanasiasa.Kanisa katoliki Congo limechangia pa kubwa kumfurusha dikteta kabila aliyetaka kuzidi kukaa madarakani kwa kutokuheshimu katiba na makubaliano ya wakongomani.
Tanzania ni nchi ya hovyo sana. Yani viongozi wa dini hawaogopi kabisa kulaghai na kutetea mitumbo yao....sasa kama viongozi wa dini wenyewe hawamwogopi MUNGU, sisi tumuogope wa nini?
 
Kwa hiyo Kardinali Pengo anahalalisha mauwaji, udikteita, ukandamizaji watu na dhuluma za wazi kisa maendeleo??
Kanisa la Roman lilishirikiana na Hitler na Musolin kukandamiza watu kwenye tawala za kidikteita.
Hata Hitler alivyo angamiza Wayaudi hawakutia neno, hizo ni hulka zao!
Damu za watu zinalia mbele za Mungu kama damu ya Habili, hiyo ni laana Bwn Pengo atambue hilo!!
 
Kwanza kabisa Pengo alikuwa Dikteta kwa watu wa jimbo la Dar, hivyo hana moral authority ya kumsemea Jiwe. Sisi waumini na viongozi wa chini yake ndo tunaemjua udikteta wake, tumeshukuru kuondoka kwake sasa akitaka aombe apewe uenezi wa chama huko ccm.Huku kwenye ukatoliki atuache na syo mwakilishi tena wa jimbo labda kibaraka wa ccm tu.
 
Kwa hiyo Kardinali Pengo anahalalisha mauwaji, udikteita, ukandamizaji watu na dhuluma za wazi kisa maendeleo??
Kanisa la Roman lilishirikiana na Hitler na Musolin kukandamiza watu kwenye tawala za kidikteita.
Hata Hitler alivyo angamiza Wayaudi hawakutia neno, hizo ni hulka zao!
Damu za watu zinalia mbele za Mungu kama damu ya Habili, hiyo ni laana Bwn Pengo atambue hilo!!

Pengo sasa si chochote ktk nyanya za kiuongozi mkoa wa Dar, ni mzee ambaye sasa akili isharudi utotoni hajitambui na kanisa halitambui matamshi yake ya kisiasa na wenzake walishamtenga toka aanze kula maharagwe badala ya kula kitimoto
 
Kutoa elimu bure!?
Kutoa huduma za afya bure!?
Kununua ndege bure!??
Hayo anayatoa bure kwa hela zake au za wananchi hao hao' huo ubure unatoka wapi nyie wasomi wa madegree yasio na maana??
Pengo nimekudharau sana babu'
Endeleen kutumiw tu na kupata fadhilA mbalimbali.
 
20191119_055409.jpg
 
Ameonesha kanisa Katoliki lina pengo kubwa kwa upande wa kardinali.
 
Kizazi kisichopenda ukweli kitakosoa mpaka Viongozi wateule. Dini inatawaliwa na dhana ya IMANI kama huwezi amini katika Maono ya Viongozi wako wa Kidini huna Imani. Ya Kardinali Pengo tuachieni walengwa yatuwashe maaana ndiye mhimili wetu wa Imani na kwa mujibu wa mafundisho kauli za Kidini hazihitaji too much Reason mwishowe Utakufuru.
Baba Pengo tunasema AMINA.
 
Back
Top Bottom