Naamini kuanzia leo Rome watampiga Pengo marufuku kuwa msemaji wa kanisa popote na atawekwa chini ya uangaliziPengo amepandwa na pepo linaloitwa beezebul na amedhalilisha Waumini wakatoliki wa Tanzania wapatao milioni 10.
Pengo siyo Kanisa Katoliki. Ni kitu cha ajabu kuchukia Kanisa Katoliki kwa sababu ya Pengo. Amesema anavyoona na mtu mwingine ndani ya kanisa hilo hilo anaweza kuwa na maoni tofauti. Jenga imani yako juu ya Yesu na utaona kila member wa kanisa (awe kiongozi au asiwe) anahitaji wokovu. Ukishaona hivyo, then hutateteleka kiimani. Pole sana!Kanisa Katoliki DRC liliukataa udikteta wa kabila, Kanisa Katoliki huku TZ linatetea Udikteta. Mimi ndio maana Jumamosi huwa nanywea hela zote nilizonazo ili Asubuhi ya Jumapili niamke sina sadaka.
Kwa nini Rome ifanye hivyo?Naamini kuanzia leo Rome watampiga Pengo marufuku kuwa msemaji wa kanisa popote na atawekwa chini ya uangalizi
Uganda gani unaiongelea? Ya Kisarawe labda. Ila kama ni hii ambayo Yoweri Museveni ni Rais, Iddi Amin anabakia ni dikteta tu.Nenda Uganda uwaambie Waganda eti Idd Amin Dadah alikuwa dikteta uone kama utapata maji ya kunywa au sehemu ya kulala.
Unajua origin ya neno Amen?Amen, very soon
P
Na iwe kama hivyo.Unajua origin ya neno Amen?
WrongNa iwe kama hivyo.
P
So be it.Wrong
Sunday school na madrasat mmedanganywa kuhusu hili neno eti maana yake na iwe kama hivyo!!!
Amen/Amun alikuwa ni mungu wa kaskazini(sudan) na Ra alikuwa ni mungu wa kusini(misri/kemet)
Walipoungana baada ya sudan kuisaidia misri kuwatimua persians waliunganisha miungu yao na kuwa mmoja..yaani AmenRa
It all happened thousands of years before there was no jehova,jesus not even allah
"man know thyself"
Tuombe Mungu sanaSitaki kuamini kama ni cardinal kaongea hayo
I hope you didn't have amen in your head when you wrote this "so be it"So be it.
P
Basi ujinga hauna ubaguzi kama mtu ni kadinali au nini. Cjui kama nukuu hizi ni kweli? Sijui kama kweli anataka kumchafulia rais kwa kumlinganisha na Mussolini na Hitler?Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo...... .
Hili la Hiltrer na Mussolin Nadhani ni elimu mpya kuwa kuna mambo mazuri walifanya...
Hahahaaaaa! Namkumbuka marehemu mtikila alisema watu wasimchague EL kwa sababu ni mgonjwa atakufa soon yeye akatangulia faster... kumi jioni!, do you know your time?, chunga kijana..
Sisi wakatoliki wenye upeo mkubwa wa kuyaelewa maneno ya hekima tumemuelewa.Pengo amepandwa na pepo linaloitwa beezebul na amedhalilisha Waumini wakatoliki wa Tanzania wapatao milioni 10.