Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

Pengo amepandwa na pepo linaloitwa beezebul na amedhalilisha Waumini wakatoliki wa Tanzania wapatao milioni 10.
Naamini kuanzia leo Rome watampiga Pengo marufuku kuwa msemaji wa kanisa popote na atawekwa chini ya uangalizi
 
GUSSIE,
Kama aliweza kwenda kinyume na waraka wa maasikofu wezake na kusema haujui sishangai hata kwa hiki alicho andika ,kwanza yeye siyo msemaji wa kanisa katoliki ni haki yake kuongea anacho waza ,
 
Kanisa Katoliki DRC liliukataa udikteta wa kabila, Kanisa Katoliki huku TZ linatetea Udikteta. Mimi ndio maana Jumamosi huwa nanywea hela zote nilizonazo ili Asubuhi ya Jumapili niamke sina sadaka.
Pengo siyo Kanisa Katoliki. Ni kitu cha ajabu kuchukia Kanisa Katoliki kwa sababu ya Pengo. Amesema anavyoona na mtu mwingine ndani ya kanisa hilo hilo anaweza kuwa na maoni tofauti. Jenga imani yako juu ya Yesu na utaona kila member wa kanisa (awe kiongozi au asiwe) anahitaji wokovu. Ukishaona hivyo, then hutateteleka kiimani. Pole sana!
 
Naamini kuanzia leo Rome watampiga Pengo marufuku kuwa msemaji wa kanisa popote na atawekwa chini ya uangalizi
Kwa nini Rome ifanye hivyo?
Pengo kwa sasa ni Askofu Emeritus (maana yake ni askofu asiye na madaraka ya kiutawala), ila ni kardinali na alichosema siyo lazima kiwe ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki. Kama unakumbuka kuna mwaka Papa Benedict (aliyekuwa papa kabla ya Fransisko) aliandika kitabu ambacho baadhi ya waumini na watu wengine walikiona ni controversial, lakini yeye alisema 'ni maoni yake na si encyclical' na yalibaki maoni yake hadi leo.

Kwenye kanisa moja kuna waumini wenye uelewa na mitazamo tofauti ingawa wote wanamwamini Mungu mmoja. Ikitokea kila mmoja akamwelezea Mungu alivyo utashangaa kuona kwamba ingawa tunaamini katika Mungu mmoja kila mmoja wetu ana uelewa tofauti wa huyo Mungu. Ndiyo maana 'we are unity in diversity'.
 
Nilikuwa naamini ngazi ya kadinali ni kubwa sana kumbe inategemea na mtu anayeishikilia.
 
Nenda Uganda uwaambie Waganda eti Idd Amin Dadah alikuwa dikteta uone kama utapata maji ya kunywa au sehemu ya kulala.
Uganda gani unaiongelea? Ya Kisarawe labda. Ila kama ni hii ambayo Yoweri Museveni ni Rais, Iddi Amin anabakia ni dikteta tu.

Labda kasoro kule kaskazini wilaya aliyotoka kwenye kabila la Wanubi ambalo ndilo kabila lake. Kwa hiyo na huyu Dikteta uchwara anakubalika huko kwa wasukuma wa Chato.
 
Ngoja tuone...

Lazima asifie, la sivyo ataambiwa akaoneshe kaburi la bibi wa bibi yake bibi yake ili kuthibitisha uraia wake...


Cc: mahondaw
 
PENGO kumbuka pale rwanda watoto wanakunywa maziwa shuleni na chakula bora!lakini bado kagame ni dikteta tena muuaji mkubwa na anasemwa kila siku sembuse mzilankende myao!!!
 
Na iwe kama hivyo.
P
Wrong
Sunday school na madrasat mmedanganywa kuhusu hili neno eti maana yake na iwe kama hivyo!!!
Amen/Amun alikuwa ni mungu wa kaskazini(sudan) na Ra alikuwa ni mungu wa kusini(misri/kemet)
Walipoungana baada ya sudan kuisaidia misri kuwatimua persians waliunganisha miungu yao na kuwa mmoja..yaani AmenRa
It all happened thousands of years before there was no jehova,jesus not even allah
"man know thyself"
 
Wrong
Sunday school na madrasat mmedanganywa kuhusu hili neno eti maana yake na iwe kama hivyo!!!
Amen/Amun alikuwa ni mungu wa kaskazini(sudan) na Ra alikuwa ni mungu wa kusini(misri/kemet)
Walipoungana baada ya sudan kuisaidia misri kuwatimua persians waliunganisha miungu yao na kuwa mmoja..yaani AmenRa
It all happened thousands of years before there was no jehova,jesus not even allah
"man know thyself"
So be it.
P
 
Kwa hiyo Pengo yaan akili yake yote imeshindwa kuona yanayotokea
Na hata kama watu wanaenda shule ndio uwanyanyase
Alivyomuweka na kundi la akina Munsolini na kilinganisha na Hitra na hapo ndipo utagundua utofauti wa Nyerere na Magu
Nyerere ni kiongozi na hawa wanaofata ni watawala
CCM walikuwa hawana mtu kuongoza wote walikuwa hawana sifa ikabidi watafute mtawala tu
 
Sitaki kuamini kama ni cardinal kaongea hayo
Tuombe Mungu sana
IMG-20191118-WA0076.jpeg
 
Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo...... .

Hili la Hiltrer na Mussolin Nadhani ni elimu mpya kuwa kuna mambo mazuri walifanya...
Basi ujinga hauna ubaguzi kama mtu ni kadinali au nini. Cjui kama nukuu hizi ni kweli? Sijui kama kweli anataka kumchafulia rais kwa kumlinganisha na Mussolini na Hitler?

Basi Mussolini pamoja na mengine alikuwa racist aliyeamua kushambulia Ethiopia, nchi huru ya pekee Afrika wakati ule, na kuanzisha ukoloni pale mwaka 1936. Kumbe kwa nini chama chake haklikupata tena kura za Waitalia???

Hitler naye alikuwa mbaguzi mkali, aliua Wayahudi, alitangaza Waafrika si wanadamu kamili akaamuru kuwakata uume (ku-sterilize) wale walioishi Ujerumani wakati ule, akaharibu Ujerumani (baada ya utawala wake na vita zake Ujerumani ulipungukiwa robo moja ya maeneo yake, alifukuza wataalamu wengi waliokimbia Marekani kumbe KIjerumani si tena lugha kuu ya sayansi jinsi ilivyokuwa hadi Hitler).

Huyu Hitler anatazamiwa kuwa aibu kuu na Wajerumani karibu wote - basi wamemsubiri mzee wa Tanzania kutangaza "hakuwa dikteta..."

Safi!
 
... kumi jioni!, do you know your time?, chunga kijana..
Hahahaaaaa! Namkumbuka marehemu mtikila alisema watu wasimchague EL kwa sababu ni mgonjwa atakufa soon yeye akatangulia faster
 
Pengo amepandwa na pepo linaloitwa beezebul na amedhalilisha Waumini wakatoliki wa Tanzania wapatao milioni 10.
Sisi wakatoliki wenye upeo mkubwa wa kuyaelewa maneno ya hekima tumemuelewa.

Nyinyi mnaopenda siasa nyepesi hamuwezi kumuelewa.
 
Back
Top Bottom