Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Wajanja wa kutafuta connection wameanza kumtumia mwamba wa mitikasi huku wakiamini unganiko lao na yeye ndiyo njia sahihi ya kupata chochote kitu kwa kipindi hiki.
Mwamba alizimwa lakini sasa kaamka!
Mikutano na warsha nyingi zinamhitaji.Mialiko zaidi ya 20+ kwa siku imekuwa ikimngoja na kwalo hata muda wa kupumzika hanao!
"....juzi pekee alikuwa na mialiko 99++++!" Kilisema chanzo.
Hakika kama alivyopata kunena mwamba mwingine mkubwa kabisa a.k.a. joka la makengeza kuwa hii dunia ni hadaa bali malimwengu huwa shujaa!
Yu wapi Andrew?!