kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ni kipindi hicho hicho ambapo Wana Utopolo Walimuweka Madarakani Mr. 800 Kg ambaye alitumia fursa kuwadanganya Yanga kuwa Mkataba Wa Morison na Simba Yeye Anao.....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchawi kijanaHatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African Champions Cup. How?
Baada ya Karia kuingia madarakani TFF,
1. Simba ilirahisishiwa kuingia kwenye mfumo mpya wa uendeshaji wa club bila kufuata njia zote zinazotakiwa bila kupewa adhabu yoyote.
2. Baada ya Simba kuonekana kuwa ina pesa za kusajili kuliko vilabu vingingine kwenye ligi, Simba ilirahisishiwa kusajili wachezaji 10 wa kigeni.
3. Simba ilirahisishiwa kumpata mchezaji yeyote waliyemtaka akiwemo Morrison bila kufuata kanuni.
4. Simba ilipangiwa ratiba kwenye ligi ambayo ni rafiki sana, yaani iliruhusiwa kuwa na viporo hadi 9 kwenye ligi.
5. Simba haikuathiliwa na maamuzi ya waamuzi viwanjani.
6. Alihakikisha kuwa Simba haina malalamiko yoyote kwa TFF
Hali hii ilisababisha Simba iwe comfortable kwenye mashindano yote iliyoshiriki wakati wote wa Bw Karia.
Siwezi kusema wakati wa kipindi chake nchi ilipiga hatua kwenye mpira, lahasha sema tu alipata bahati akakuta viongozi wengi wa serikali ni wanachama au shabiki wa Simba.
Mafanikio kama yapi?Mbona hata kipindi cha utawala wa Malinzi Yanga ndio ilikuwa Bingwa miaka yote ya uongozi wake.
Mnyonge muoneeni lakini haki yake mpeni, Uongozi wa Karia unamafanikio mengi makubwa yanayoonekana. Wengi wanaomchukia Karia ni wadau wa Utopolo ambao wanapandikiza chuki zisizo na mashiko.
Jibu hoja kwa hoja je ushawah ona ligi gan dunian timu moja inacheza mechi nne mfululizo ikiwa home? Alaf hapo hapo et Simba inabebwaKumbuka Simba ilianza ligi Na timu laini makusudi iwe kama njia ya kuifanya simba iwe kwake kama pre season baada ya mapunziko ya corona
Moja ya hoja dhaifu kuwahi kutolewa katika jukwaa la michezo!Wachezaji 10 wa kigeni Karia aliilenga Simba tu ambayo kwa wakati ule ndo iliyokuwa Na uwezo wa kifedha wa mo
Ile miaka 30 huko nyuma, hawakuwahi kutamani kutubeba? Na kama haikuwahi kutamani, TFF iliwapa nini wakati huo mpaka ikakubali? Pengine wewe unaweza kuwa unajua kilichofanyika ututhibitishie hapa.Kwa hili nadhani tuwashukuru Waganda...walitubeba kama Ndugu zao na majirani
Hoja dhaifu kivipi? Wakati kanuni ya kuruhusu wachezaji 10 inapita kule TFF ni Simba tu labda Na Azam waliokuwa Na uwezo wa kusajili wachezaji 10, hivyo TFF ilitumika vibaya kuimarisha timu moja tu kwenye ligi. Simba yenye kikosi kipana chenye wachezaji mahiri 10 wa kigeni Na mahiri wa ndani ndiyo icheze Na Ruvu, Ihefu, polisi, mtibwa, mbeya city nk. Upuuzi sawa Na upuuzi mwingine.Moja ya hoja dhaifu kuwahi kutolewa katika jukwaa la michezo!
Kwako ilikuwa ni sawa kuchua ubingwa mfululizo, ila kwa simba ni kosa.Mbona hata kipindi cha utawala wa Malinzi Yanga ndio ilikuwa Bingwa miaka yote ya uongozi wake.
Mnyonge muoneeni lakini haki yake mpeni, Uongozi wa Karia unamafanikio mengi makubwa yanayoonekana. Wengi wanaomchukia Karia ni wadau wa Utopolo ambao wanapandikiza chuki zisizo na mashiko.
Ila wakati ule Yanga akichukua ubingwa mara tatu mfululizo,hakukuwa na tatizo kwenu sio? Emb acheni upumbavu,chezeni mpira msitafute sababu ya kijificha.Ni wakati sasa kwa vilabu vya michezo kutengeneza kanuni za kuviwezesha kuongozwa na wanamichezo wenyewe!
Badala ya wanasiasa, makada na mamluki, kwa mgongo wa elimu ya chuo kikuu.
Kwahiyo Lila team ambayo haikufika fainali, tatizo linanzia kwenye shirikisho la mpira la nchi husika?Ikafika wapi
Hao uganda waliotuachia, walifika wapi? Point nyingine bwana,watu mnawaza kama vile mmekatika vichwa[emoji23].Simu tu zilitumika Uganda wakaachia, hata hivyo tulitia aibu kwenye mashindano.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wakati mnaingoza msimamo, wakati wa zile tambo zenu za kuchukua ubingwa haya malalamiko hatukuyaona kwakua mlikuwa na matumaini ya kuchukua ubingwa, Ila kwakua saivi mnaona ngoma ni nzito, mmeanza kutafuta visababu ambavyo mwanzoni wala hamkuvijali.Kumbuka Simba ilianza ligi Na timu laini makusudi iwe kama njia ya kuifanya simba iwe kwake kama pre season baada ya mapunziko ya corona
Unaijua nusu ya nchi zote za AFRIKA wewe?Nusu ya nchi zote za Africa zilishiriki. Na bado tumeshindwa baada ya hapo.
Kabla ya hapo Tanzania ilishiriki ikiwa ni miongoni mwa nchi nane tu zinazotakiwa kushiriki.
Miaka yote ambayo Yanga ikichukua ubingwa na kushiriki mashindano makubwa ya AFRIKA ukifika wapi? Kama ni kweli kuwa Karia anaipendelea Simba, ni sawa tu kwakua unafanya vizuri na inazidi kupandisha thamani ya ligi kuu,sio kosa kuitumia.Na ndio maana kule kwenye mashindano hatukufua dafu, kwani TFF iliongeza kitu gani kipya kwa taifa stars hadi ipate nafasi afcon?
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba Karia hana tofauti na Malinzi kwenye maendeleo ya mpira nchini. Kama Malinzi alihangaikia mmo Yanga Na Karia nae amehangaikia mno Simba kwenye uongozi wake. Hivyo asije akaomba kura kwa kisingizio kuwa kapeleka mbele maendeleo ya mpira.. Simba wangeweza kucheza Na coastal union hata kabla ya kwenda South Afrika kwa Kaizer chief, lakini mbeleko ya Karia ikaahirisha mechi hiyo.Kwako ilikuwa ni sawa kuchua ubingwa mfululizo, ila kwa simba ni kosa.
Wao ulikuwa ni sawa kupewa michezo minne mfululizo wakiwa uwanja wa nyumbani, ila kwa Simba Sc ni kosa.
Wai wlikuwa sawa kuwaita Simba Sc "Wa matopeni",ila wao kuitwa "utopolo" ni kushusha brand ya team yao walioijenga muda mrefu.
Mleta uzi ni. Mpumbavu sana.
We unazijua?Unaijua nusu ya nchi zote za AFRIKA wewe?
Watu wa yanga acheni kulia lia hovyo ,mmeona ubingwa hampati mnaanza kutafutiza visabab vya uchwara .Timu kubaki Na viporo 5 vya timu ambazo baadhi yake zimeshashuka daraja umeona wapi?