Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

Ni kipindi hicho hicho ambapo Wana Utopolo Walimuweka Madarakani Mr. 800 Kg ambaye alitumia fursa kuwadanganya Yanga kuwa Mkataba Wa Morison na Simba Yeye Anao.....!
 
Acha uchawi kijana
 
Mafanikio kama yapi?
 
Kumbuka Simba ilianza ligi Na timu laini makusudi iwe kama njia ya kuifanya simba iwe kwake kama pre season baada ya mapunziko ya corona
Jibu hoja kwa hoja je ushawah ona ligi gan dunian timu moja inacheza mechi nne mfululizo ikiwa home? Alaf hapo hapo et Simba inabebwa
 
Jibu hoja kwa hoja je ushawah ona ligi gan dunian timu moja inacheza mechi nne mfululizo ikiwa home? Alaf hapo hapo et Simba inabebwa
Timu kubaki Na viporo 5 vya timu ambazo baadhi yake zimeshashuka daraja umeona wapi?
 
Kwa hili nadhani tuwashukuru Waganda...walitubeba kama Ndugu zao na majirani
Ile miaka 30 huko nyuma, hawakuwahi kutamani kutubeba? Na kama haikuwahi kutamani, TFF iliwapa nini wakati huo mpaka ikakubali? Pengine wewe unaweza kuwa unajua kilichofanyika ututhibitishie hapa.
 
Moja ya hoja dhaifu kuwahi kutolewa katika jukwaa la michezo!
Hoja dhaifu kivipi? Wakati kanuni ya kuruhusu wachezaji 10 inapita kule TFF ni Simba tu labda Na Azam waliokuwa Na uwezo wa kusajili wachezaji 10, hivyo TFF ilitumika vibaya kuimarisha timu moja tu kwenye ligi. Simba yenye kikosi kipana chenye wachezaji mahiri 10 wa kigeni Na mahiri wa ndani ndiyo icheze Na Ruvu, Ihefu, polisi, mtibwa, mbeya city nk. Upuuzi sawa Na upuuzi mwingine.
 
Kwako ilikuwa ni sawa kuchua ubingwa mfululizo, ila kwa simba ni kosa.

Wao ulikuwa ni sawa kupewa michezo minne mfululizo wakiwa uwanja wa nyumbani, ila kwa Simba Sc ni kosa.

Wai wlikuwa sawa kuwaita Simba Sc "Wa matopeni",ila wao kuitwa "utopolo" ni kushusha brand ya team yao walioijenga muda mrefu.

Mleta uzi ni. Mpumbavu sana.
 
Ni wakati sasa kwa vilabu vya michezo kutengeneza kanuni za kuviwezesha kuongozwa na wanamichezo wenyewe!

Badala ya wanasiasa, makada na mamluki, kwa mgongo wa elimu ya chuo kikuu.
Ila wakati ule Yanga akichukua ubingwa mara tatu mfululizo,hakukuwa na tatizo kwenu sio? Emb acheni upumbavu,chezeni mpira msitafute sababu ya kijificha.

Kama kikosi chenu ni bora sana,msimu ujao tunataka mfanye vizuri CAF, mashindano ambayo hayana ukanjanja mnaosema upo TFF.
 
Ikafika wapi
Kwahiyo Lila team ambayo haikufika fainali, tatizo linanzia kwenye shirikisho la mpira la nchi husika?

Basi kama ni hivyo, kila nchi iimarishe shirikisho lake la mpira Ili team zote zifike fainali, kisha zichukue kombe zote kwa pamoja.
 
Kumbuka Simba ilianza ligi Na timu laini makusudi iwe kama njia ya kuifanya simba iwe kwake kama pre season baada ya mapunziko ya corona
Wakati mnaingoza msimamo, wakati wa zile tambo zenu za kuchukua ubingwa haya malalamiko hatukuyaona kwakua mlikuwa na matumaini ya kuchukua ubingwa, Ila kwakua saivi mnaona ngoma ni nzito, mmeanza kutafuta visababu ambavyo mwanzoni wala hamkuvijali.

Pambaneni na hali zenu utopolo[emoji23]
 
Nusu ya nchi zote za Africa zilishiriki. Na bado tumeshindwa baada ya hapo.
Kabla ya hapo Tanzania ilishiriki ikiwa ni miongoni mwa nchi nane tu zinazotakiwa kushiriki.
Unaijua nusu ya nchi zote za AFRIKA wewe?
 
Na ndio maana kule kwenye mashindano hatukufua dafu, kwani TFF iliongeza kitu gani kipya kwa taifa stars hadi ipate nafasi afcon?
Miaka yote ambayo Yanga ikichukua ubingwa na kushiriki mashindano makubwa ya AFRIKA ukifika wapi? Kama ni kweli kuwa Karia anaipendelea Simba, ni sawa tu kwakua unafanya vizuri na inazidi kupandisha thamani ya ligi kuu,sio kosa kuitumia.
 
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba Karia hana tofauti na Malinzi kwenye maendeleo ya mpira nchini. Kama Malinzi alihangaikia mmo Yanga Na Karia nae amehangaikia mno Simba kwenye uongozi wake. Hivyo asije akaomba kura kwa kisingizio kuwa kapeleka mbele maendeleo ya mpira.. Simba wangeweza kucheza Na coastal union hata kabla ya kwenda South Afrika kwa Kaizer chief, lakini mbeleko ya Karia ikaahirisha mechi hiyo.
 
Timu kubaki Na viporo 5 vya timu ambazo baadhi yake zimeshashuka daraja umeona wapi?
Watu wa yanga acheni kulia lia hovyo ,mmeona ubingwa hampati mnaanza kutafutiza visabab vya uchwara .

Dawa ya kuwa bingwa we shinda mechi zako ,hata mtu apendelewe vipi ww ukishinda mechi zako utakuwa bingwa tu ,Sasa viporo vya Simba ndio vikuzuie ww kuchukua ubingwa ?

Alafu mbona Namungo ana viporo shazi na humuongelei kabisa kisa unajua namungo hata angekuwa na viporo sita hawez kukufikia kwa point.

Ifike mahal acheni kulia lia kila siku mpira sio kelele bali vitendo ,ukianza kutoa sabab za kipuuz et fulan ana viporo vingap wakat huo huo na wewe unabebwa sana na tff na kuruhusiwa kucheza mechi nne mfululizo ukiwa home kisa tu pesa ya kusafiri ni tatizo ,yaan tff wanawafanyia fair lakin bado mnawalaumu tu ,ila najua mnajifichia kwa tff kwa kila kitu ,maana wakat m aongoza ligi hizi kelele hazikwepo ila baada ya kuona maji ya shingo mnatafutiza visabu visivyo kuwa na maana.

Nasema ivi Yanga shindeni game zenu ,maana Simba na yanga wote wana michezo sawa kwa idadi sasa iweje ulie lie au Kuna timu yanga imecheza nayo na tff wamesema hiyo timu haitakutana na Simba?
 
KARIA IS TOO DIVSIVE!
Kwanza aliingia kwa kura za maruhani!

MSISAHAU USHAURI WA MEXIME ! Mpira uongozwe na WENYE MPIRA WAO !

Hata JULIO anafaa kuliko KARIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…