Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Watu wanamsimanga Haji Manara kana kwamba huyo Karia ni malaika au mtakatifu fulani hivi! Kumbe na yeye ni wale wale tu.Nilimdharau Karia kuanzia siku alisema 'msilete Utundu Lisu". tangu siku hiyo nilianza kumuona kuwa mtu mwenye akili ndogo kama mtoto wa chekechea