Karia Hujaacha Matusi tu?

Karia Hujaacha Matusi tu?

Manara anapenda sifa zitamponza kule wanakaa maraisi wakuu wa mikoa na ma CEO sasa yeye na sifa zake akaenda kule mbona bumbuli ametulia tu mtu anayejiona yeye hakosei.
 
Kwanza hii nchi hatujakosa watu wazalendo na wenye uchungu na soka letu, kiasi cha shirikisho letu la mpira wa miguu kuongozwa na wahamiaji kutoka nje ya nchi.

Manara, siku nyingine bamiza kabisa ngumi huyo Al Shabaab. Kama vipi arudi kwao Kisimayu huko.
 
Handle with care
 
Nakazia hapa mgunda apewe timu ya taifa.
Yule mzungu katufanga sie hatujui mpira mpaka anaacha mpole nje anaanzisha mtu ambaye hana timu. Katudharau sana yule mlung'u
Huyo mpole si aliingia,akawa anazubaa na mpira asijue wapi apeleke Hadi anaporwa
 
Huyo mpole si aliingia,akawa anazubaa na mpira asijue wapi apeleke Hadi anaporwa
Tayari stimu na game hakuwa nayo maana alishapata disappointment ya kutokuanza game ukizingatia last match alikuwa kafunga
 
Video iko wapi ya Karia na Manara,ili wataalamu wa body languages tung'amue nani kasema nini.
 
Nchi za aftika bhana kiongozi akipishana maneno kidogo na raia kinachofata ni adhabu
 
Muhaho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Bado huyo,acha kumtetea
Kwa nini tusimtetee mtu ambaye baada ya hiyo mechi ya taifa karudi kwenye ligi kafunga mechi mbili mfululizo. Huyu mzungu asitufanye sje maboya. Sawa hatujuii mpira kivileee lakini sio kwenye level ya kutokujua nani anastahili kuanza kwenye lineup
 
Anafunga magoli gani huko ligi kuu!?..tap ins au!?..na kwa nini stars anakua mzito!?..sababu anacheza na wanaojua,anahitaji muda mwingi kufanya maamuzi akiwa na mpira...kocha ndiye ajuaye yupi anafaa kwenye mfumo wake
 
Labda gsm apande dau lakini kinyume cha hapo apigwe ban la kisawasawa.
 
Back
Top Bottom