Karia Hujaacha Matusi tu?

Karia Hujaacha Matusi tu?

Anafunga magoli gani huko ligi kuu!?..tap ins au!?..na kwa nini stars anakua mzito!?..sababu anacheza na wanaojua,anahitaji muda mwingi kufanya maamuzi akiwa na mpira...kocha ndiye ajuaye yupi anafaa kwenye mfumo wake
Duh wee kweli hujui mpira. Anafunga tap ins sasa kwani lengo la striker ni kufanya nini sii kufunga. Just to refresh ur memory van nisteroy agoli yote aliyofunga akiwa man utd alifunga goli moja tuu nje ya box. Over 85% ya magoli kwenye mpira ni tap ins. Elewa kwanza nadharia ya mchezo wenye kaka.

Kwenye soka la africa nyumbani ndio mechi za kushinda sasa wewe upo na top goal scorer unacheza mechi nyumbani unamuweka bench. Defies logic kwa kweli.

Ni kweli usemalo kuwa ukicheza dhidi ya wajuzi wa boli muda wa kufikiri ni mdogo, less time and space. Hapo ndio sasa kama kocha alipaswa kumtia motisha kijana kuwa unacheza dhidi ya wachezaji wazuri katest mitambo yako dhidi ya mabeki wa kimataifa uone level inakuwaje. Good players will always wana play with the best and against the best. Paulson alimnyima kijana fursa hiyo.
 
Van nisteroy aliachwa akiwa bado ana uwezo wa tap ins, kocha hawezi mfanya mchezaji Tena wa timu ya taifa kuwa mwepesi, Hilo linafanyika kwenye timu yake, hawezi kumuanzisha kisa eti anaongoza kwa magoli, jifunze mpira
 
Kwa nini tusimtetee mtu ambaye baada ya hiyo mechi ya taifa karudi kwenye ligi kafunga mechi mbili mfululizo. Huyu mzungu asitufanye sje maboya. Sawa hatujuii mpira kivileee lakini sio kwenye level ya kutokujua nani anastahili kuanza kwenye lineup
Anayewafundisha ndiye ajuaye Nani anastahili kuanza
 
Van nisteroy aliachwa akiwa bado ana uwezo wa tap ins,kocha hawezi mfanya mchezaji Tena wa timu ya taifa kuwa mwepesi,Hilo linafanyika kwenye timu yake,hawezi kumuanzisha kisa eti anaongoza kwa magoli,jifunze mpira
Hatujaongelea suala la kiachwa kwa van nisteroy. Point ilikuwa kwamba tap in goals bado ni magoli na kiwa starikers wa hali ya juu wanafunga hayo magoli unayoita tap ins.
Sasa usipo mwanzisha mchezaji anayefunga magoli sii maana yake hujui objective of the game
 
Van alikua striker wa kizamani, anasimama mbele kusubiri mipira Kama kagere, striker wa Sasa anafanya build up na kuzuwia, ndivyo stars inavyocheza, mpole efficiency yake ipoje katika Hilo!?
 
Van alikua striker wa kizamani,anasimama mbele kusubiri mipira Kama kagere,striker wa Sasa anafanya build up na kuzuwia,ndivyo stars inavyocheza,mpole efficiency yake ipoje katika Hilo!?
🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha ishu ya tambwe na phiri, tambwe anapachika mabao kocha phiri anasma huyu jamaa kwa buildup hajui. Sasa nadhani unajua kilichotokea.
Objective of the game remains the same...kufunga magoli.
 
Tactical astute, plays beautiful football and he is african
Kaangalie Tanzania vs Ivory coast Kama unataka beautiful game za stars ya Kim...stars ile Kim alikaa nayo muda na wengine akitoka nao timu za vijana,labda Kama ulikua hujaanza fuatilia mpira,huyo kocha wa Ethiopia alishinda game ngapi afcon!?
 
🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha ishu ya tambwe na phiri, tambwe anapachika mabao kocha phiri anasma huyu jamaa kwa buildup hajui. Sasa nadhani unajua kilichotokea.
Objective of the game remains the same...kufunga magoli.
Inategemea kocha anataka timu icheze vipi,hawezi scrapt efficient game plan yake kisa mtu mmoja,maana ukibadili mfumo wa build up unabadili na wachezaji pia
 
Kaangalie Tanzania vs Ivory coast Kama unataka beautiful game za stars ya Kim...stars ile Kim alikaa nayo muda na wengine akitoka nao timu za vijana,labda Kama ulikua hujaanza fuatilia mpira,huyo kocha wa Ethiopia alishinda game ngapi afcon!?
Sasa sii umejijibu mwenyewe hapo. Angalau huyo ameweza peleka timu afcon...sie tunaangalia kwa chupa tuu
 
Inategemea kocha anataka timu icheze vipi,hawezi scrapt efficient game plan yake kisa mtu mmoja,maana ukibadili mfumo wa build up unabadili na wachezaji pia
Hayo muachie pep, huyu wetu hajfikia hiyo stage
 
Manara aliwatukana utopolo wote akasema huwa hawana akili..kasoro baba yake na Kikwete, nilikuwa simuamini. Lakin sasa nimeanza kumuamini. Maana hata kitendo cha kuamini kuwa haji ni Yanga, wakati toka utoto wake wote anashabikia SIMBA, utaona kabisa kuwa hamna akili
 
Kidimbwi fc mnatafuta kichaka cha kujificha! HAJI atakula umeme wa maana shuwaini yule..
 
Back
Top Bottom