Duh wee kweli hujui mpira. Anafunga tap ins sasa kwani lengo la striker ni kufanya nini sii kufunga. Just to refresh ur memory van nisteroy agoli yote aliyofunga akiwa man utd alifunga goli moja tuu nje ya box. Over 85% ya magoli kwenye mpira ni tap ins. Elewa kwanza nadharia ya mchezo wenye kaka.Anafunga magoli gani huko ligi kuu!?..tap ins au!?..na kwa nini stars anakua mzito!?..sababu anacheza na wanaojua,anahitaji muda mwingi kufanya maamuzi akiwa na mpira...kocha ndiye ajuaye yupi anafaa kwenye mfumo wake
Kwenye soka la africa nyumbani ndio mechi za kushinda sasa wewe upo na top goal scorer unacheza mechi nyumbani unamuweka bench. Defies logic kwa kweli.
Ni kweli usemalo kuwa ukicheza dhidi ya wajuzi wa boli muda wa kufikiri ni mdogo, less time and space. Hapo ndio sasa kama kocha alipaswa kumtia motisha kijana kuwa unacheza dhidi ya wachezaji wazuri katest mitambo yako dhidi ya mabeki wa kimataifa uone level inakuwaje. Good players will always wana play with the best and against the best. Paulson alimnyima kijana fursa hiyo.