Karia: Nataka kuifuta ligi ya under 20 kuna udanganyifu wa umri sana!

Karia: Nataka kuifuta ligi ya under 20 kuna udanganyifu wa umri sana!

Sasa hapo tatizo ni ligi au tatizo ni umri?
Anatakiwa aweke taratibu au vipimo vya kuangalia umri
Ligi haina tatizo lolote...
 
Huyu mzee hafai kuwa kiongozi wa mpira nchi hii!
Anatakiwa alambwe Kofi limkumbushe kuwa timu bora ya taifa inajengwa na misingi ya timu bora ya vijana, bila ligi ya vijana hao watoto wataendelezea wapi vipaji vyao!
Umesema watoto??😁
 
Ndio namna pekee ya kusolve hilo?

Typical Tanzanian leaders mindset… Zuia, piga marufuku , funga, bomoa.
Ndio madhara ya kua na viongozi viazi yaan yeye anaamua suala la taifa lenye watu zaidi million 60 km anaamua kwenye kikao cha ukoo wao usiozidi watu million 1
 
Ndio hersi ni mkimbizi jambazi, si alikuwa anashikilia mkataba wa fei , fei hakukata tamaa akaitafuta haki yake , leo fei toto anakula matunda ya mapinduzi matukufu
Hersi ni kazaliwa Dodoma na wazazi wake wamezaliwa Dodoma
Unaelewa maana ya neno mkimbizi, au ni chuki za kimasikini
Unawajua hawa , Prof Shivji, Amir Habib Jamal, Derek Bryson na wengine wengi, ambao wana mchango kwenye taifa kama watanzania kuliko wewe mwenye nywele za kipilipili
 
Huyu jamaa mwili mkubwa akili saa daah. Kwani hiy9 ligi haina kanuni za adhabu kwa anayefanya hivyo?
 
Inabidi awashirikishe ccm kwanza wasije wakamkarabati
 
Hersi ni kazaliwa Dodoma na wazazi wake wamezaliwa Dodoma
Unaelewa maana ya neno mkimbizi, au ni chuki za kimasikini
Unawajua hawa , Prof Shivji, Amir Habib Jamal, Derek Bryson na wengine wengi, ambao wana mchango kwenye taifa kama watanzania kuliko wewe mwenye nywele za kipilipili
Kwa mchango wake wakutaka kumzulumu fei toto ?
 
Hersi ni kazaliwa Dodoma na wazazi wake wamezaliwa Dodoma
Unaelewa maana ya neno mkimbizi, au ni chuki za kimasikini
Unawajua hawa , Prof Shivji, Amir Habib Jamal, Derek Bryson na wengine wengi, ambao wana mchango kwenye taifa kama watanzania kuliko wewe mwenye nywele za kipilipili
Issue sio mchango


Unaweza kuwa na mchango na ukawa sio mtanzania. Kuna wachina wana mchango mkubwa hii nchi na sio watanzania. Issue inabaki pale pale hii nchi ni ya wabantu. Hao wasomali kwao ni Mogadishu.

Ma ndio maana wana familia huko.
 
Wangekuwa na zote.

Under 20 na Reserve League.
 
Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema ana mpango wa kuifuta Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kutokana na changamoto ya udanganyifu wa umri wa wachezaji.

Akizungumza katika kipindi cha Sports Xtra cha Clouds FM, Karia alisema badala yake anapendekeza kuanzishwa kwa ligi ya akiba (reserve league) ambayo itazijumuisha timu za wachezaji waliosajiliwa kwenye klabu za Ligi Kuu na Ligi ya Championship lakini hawapati nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye timu za wakubwa.

Kwa mujibu wa Karia, mfumo huo utasaidia kuwapa wachezaji hao muda wa kucheza, kuendeleza vipaji vyao na kupunguza changamoto ya udanganyifu wa umri inayodaiwa kujitokeza katika ligi za vijana
==============
"Kwa hiyo ni ligi ya under 20 mimi kwanza nataka niifute."

"Udanganyifu mkubwa sana... hawachezi kwenye umri wao. Vidabu vinatudanganya."

"Kwa hiyo mimi nataka turekebishe nataka niongee na mdhamini tuite reserve lige... kama South Africa."

"...ichezwe wale wanaowaita under 20 na wengine ambao wa timu kubwa ambao hawapati nafasi ya kucheza waweze kucheza kwa sababu pia inatusaidia hata wachezaji wetu hawa ambao ni national team potential ambao wanasajiliwa na na timu kubwa hizi alafu hawapati nafasi za kucheza basi wacheze kwenye zile reserve ligi ili tuweze kuwalinda lakini pia na kukwepa huo udanganyifu. Amesema Karia

Lengo la kuanzisha under 20 ilikuwa nini?
Tatizo ni ligi ya under 20, au udanganyifu wa umri kwenye ligi ya under 20?

Je TFF wameshindwa kukabiliana na hilo tatizo?

Wamejaribu njia gani zilizoshindwa kulitatua hili tatizo?

Akabiliane na tatizo, sio kulikimbia tatizo. Atakumbana na matatizo mengine.
 
Back
Top Bottom