Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Ndio nashangaa wanashindwaje ,Nchi zingine waweze?Kudhibiti udanganyifu imeshindikana?
Lakini siku hizi watoto wadogo wanakuwa warefu na miili mikubwa sana
Umesema watoto??😁Huyu mzee hafai kuwa kiongozi wa mpira nchi hii!
Anatakiwa alambwe Kofi limkumbushe kuwa timu bora ya taifa inajengwa na misingi ya timu bora ya vijana, bila ligi ya vijana hao watoto wataendelezea wapi vipaji vyao!
Ndio madhara ya kua na viongozi viazi yaan yeye anaamua suala la taifa lenye watu zaidi million 60 km anaamua kwenye kikao cha ukoo wao usiozidi watu million 1Ndio namna pekee ya kusolve hilo?
Typical Tanzanian leaders mindset… Zuia, piga marufuku , funga, bomoa.
Uzembe tu.Ndio nashangaa wanashindwaje ,Nchi zingine waweze?
Wao wenyewe pale TDS Kuna vijeba kibao tu
Hersi ni kazaliwa Dodoma na wazazi wake wamezaliwa DodomaNdio hersi ni mkimbizi jambazi, si alikuwa anashikilia mkataba wa fei , fei hakukata tamaa akaitafuta haki yake , leo fei toto anakula matunda ya mapinduzi matukufu
Kwa mchango wake wakutaka kumzulumu fei toto ?Hersi ni kazaliwa Dodoma na wazazi wake wamezaliwa Dodoma
Unaelewa maana ya neno mkimbizi, au ni chuki za kimasikini
Unawajua hawa , Prof Shivji, Amir Habib Jamal, Derek Bryson na wengine wengi, ambao wana mchango kwenye taifa kama watanzania kuliko wewe mwenye nywele za kipilipili
Issue sio mchangoHersi ni kazaliwa Dodoma na wazazi wake wamezaliwa Dodoma
Unaelewa maana ya neno mkimbizi, au ni chuki za kimasikini
Unawajua hawa , Prof Shivji, Amir Habib Jamal, Derek Bryson na wengine wengi, ambao wana mchango kwenye taifa kama watanzania kuliko wewe mwenye nywele za kipilipili
Ni kasheshe .Ndio madhara ya kua na viongozi viazi yaan yeye anaamua suala la taifa lenye watu zaidi million 60 km anaamua kwenye kikao cha ukoo wao usiozidi watu million 1
Lengo la kuanzisha under 20 ilikuwa nini?Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema ana mpango wa kuifuta Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kutokana na changamoto ya udanganyifu wa umri wa wachezaji.
Akizungumza katika kipindi cha Sports Xtra cha Clouds FM, Karia alisema badala yake anapendekeza kuanzishwa kwa ligi ya akiba (reserve league) ambayo itazijumuisha timu za wachezaji waliosajiliwa kwenye klabu za Ligi Kuu na Ligi ya Championship lakini hawapati nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye timu za wakubwa.
Kwa mujibu wa Karia, mfumo huo utasaidia kuwapa wachezaji hao muda wa kucheza, kuendeleza vipaji vyao na kupunguza changamoto ya udanganyifu wa umri inayodaiwa kujitokeza katika ligi za vijana
==============
"Kwa hiyo ni ligi ya under 20 mimi kwanza nataka niifute."
"Udanganyifu mkubwa sana... hawachezi kwenye umri wao. Vidabu vinatudanganya."
"Kwa hiyo mimi nataka turekebishe nataka niongee na mdhamini tuite reserve lige... kama South Africa."
"...ichezwe wale wanaowaita under 20 na wengine ambao wa timu kubwa ambao hawapati nafasi ya kucheza waweze kucheza kwa sababu pia inatusaidia hata wachezaji wetu hawa ambao ni national team potential ambao wanasajiliwa na na timu kubwa hizi alafu hawapati nafasi za kucheza basi wacheze kwenye zile reserve ligi ili tuweze kuwalinda lakini pia na kukwepa huo udanganyifu. Amesema Karia